Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ugonjwa wa akili huoMwamanaume mmoja huko Ufaransa amefungwa miaka 20 kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mkewe na kualika wanaume wengine 50 kumbaka mkewe kwa muda wa miaka 10.
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Dominique Pelicot alikuwa anambaka mkewe Giselle Pelicot (Mrs) baada ya kumpa dawa za usingizi kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo.
Pia Dominique akaanza kuwaalika wanaume wengine kuja kumbaka mkewe akiwa hajitambui na kuchukua picha za video wakati mkewe akibakwa na yeye mwenyewe alijichukua video wakati akimbaka mkewe akiwa hajitambui.
Na wewe zamu yako itafika tuKuna watu wakatili sana aisee
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya akili wamekataa. Wamesema alikuwa anakusudia na kupanga alichokitenda.Ugonjwa wa akili huo
Leejay49 bado zamu yakoMadaktari Bingwa wa Magonjwa ya akili wamekataa. Wamesema alikuwa anakusudia na kupanga alichokitenda.
Wana mpaka wajukuu na vitukuu. Jamaa miaka 72 wakati mkewe ana miaka 71Sio mke wake; alimuoa kwa Malengo hayo, so hatuwezi kusema ni mke!
Hii kesi nimeiona, na kulikuwa na maandamano kabisa ya kumuunga mkono huyo mama.Mwamanaume mmoja huko Ufaransa amefungwa miaka 20 kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mkewe na kualika wanaume wengine 50 kumbaka mkewe kwa muda wa miaka 10.
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Dominique Pelicot alikuwa anambaka mkewe Giselle Pelicot (Mrs) baada ya kumpa dawa za usingizi kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo.
Pia Dominique akaanza kuwaalika wanaume wengine kuja kumbaka mkewe akiwa hajitambui na kuchukua picha za video wakati mkewe akibakwa na yeye mwenyewe alijichukua video wakati akimbaka mkewe akiwa hajitambui.
Kabisa..Hii kesi nimeiona, na kulikuwa na maandamano kabisa ya kumuunga mkono huyo mama.
Inasikitisha.
Halafu wale washenzi waliokuwa wanambaka wameficha sura zaoHii kesi nimeiona, na kulikuwa na maandamano kabisa ya kumuunga mkono huyo mama.
Inasikitisha.
Ndiyo jamaa kafungwa miaka 20 yeye na wenzake.Hii ni habari ya kutisha na ya kusikitisha.
Dawa za usingizi na za kufanya mtu aathirike kimwili na kihisia kwa miaka 10? Hatari ⚠️
Huu ni uhalifu mkubwa, na ni muhimu wahusika kuwajibika kwa vitendo vyao.
Alikuwa anaalika watu kupitia mitandaoNdiyo jamaa kafungwa miaka 20 yeye na wenzake.
Kilichoshangaza watu ni kuwa kundi hilo la wabakaji halitokani na watu wa aina Moja ya jamii au umri.
Ni watu wenye historia tofauti tofauti.
Ni mkewe, na watoto wapoSio mke wake; alimuoa kwa Malengo hayo, so hatuwezi kusema ni mke!
Kesi imekuwa kwenye vyombo vya habari kwa muda mrefu hii. Nashangaa Bongo wanavyopenda mambo kama haya ni kwanini hawakuishikia bango.Mwamanaume mmoja huko Ufaransa amefungwa miaka 20 kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mkewe na kualika wanaume wengine 50 kumbaka mkewe kwa muda wa miaka 10.
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Dominique Pelicot alikuwa anambaka mkewe Giselle Pelicot (Mrs) baada ya kumpa dawa za usingizi kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo.
Pia Dominique akaanza kuwaalika wanaume wengine kuja kumbaka mkewe akiwa hajitambui na kuchukua picha za video wakati mkewe akibakwa na yeye mwenyewe alijichukua video wakati akimbaka mkewe akiwa hajitambui.
Na kuna wakati alipata ugonjwa wa zinaa sijue ameupata wapi. Poor woman.Hii ni habari ya kutisha na ya kusikitisha.
Dawa za usingizi na za kufanya mtu aathirike kimwili na kihisia kwa miaka 10? Hatari ⚠️
Huu ni uhalifu mkubwa, na ni muhimu wahusika kuwajibika kwa vitendo vyao.