Ufaransa: Afungwa miaka 20 Kwa kumbaka mkewe na kualika wanaume wengine 50 wambake mkewe

💯✔️
 
am i missing somethng here?

kwa hyo huyo mwanamke baada ya kutoka kwenye hzo dawa baada ya kubakwa alikuwa hajihisi kitu/tofauti kwenye mwili wake (to be precise kwenye sehemu zake za siri)?
Mwanamke mahakamani amesema kuna wakati alikuwa akizinduka usingizini alikuwa anajisikia kama ametoka kujifungua
 
Mwanamke mahakamani amesema kuna wakati alikuwa akizinduka usingizini alikuwa anajisikia kama ametoka kujifungua
Hii stori watu wanaiangalia kama hadithi tu. Hebu fikiria awe ni mama au bibi yako na baba au Babu yako ndiyo kafanya huo uahalfu. Wazia utakavyojisikia.

Halafu mmojawapo wa hao wabakaji uwe unamfahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…