avitus john
Member
- Aug 11, 2024
- 67
- 102
Angeoa mchaga lazima angejiua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lina uwezo wa kucheki kama kuna "active" driver otherwise linakata umeme. I think seat ina sensor za kucheki kama pana makalio juu yake temperature between 35 to 38 Celsius.
Na akikaa kwenye usukani inatakiwa mikono ifungwe pingu pale kwenye usukani ili asitoke kabla ya kufika.Kwa treni kama za kwetu huku anatakaiwa muongozaji asiwe peke yake
Wanaotumia akili sawasawa walishaona hilo - uwezekano wa dereva kutokuwepo mahali pake while in motion. Hawakupuuzia wakachukua hatua. Leo 400 lives have been saved!Weight sensors, motion sensors, dash cameras
etc. Dunia Iko mbali sana.
Kwa zile bullet train za japan, dereva kuna kifaa anatakiwa kukanyaga kila ya dakika 2 hivi. Kisipokanyagwa safety measures zinakua-activated fastaWeight sensors, motion sensors, dash cameras
etc. Dunia Iko mbali sana.
Huku walivyo na matatizo hata uweke wawili wanaweza kuacha kazi wakaingia kuchapana kwa ujinga mdogo tu. Never trust them.Na akikaa kwenye usukani inatakiwa mikono ifungwe pingu pale kwenye usukani ili asitoke kabla ya kufika.
Watu wanaotumia akili sawa sawa!Kwa zile bullet train za japan, dereva kuna kifaa anatakiwa kukanyaga kila ya dakika 2 hivi. Kisipokanyagwa safety measures zinakua-activated fasta
Naam wanaumiza kichwa kweli kweliWatu wanaotumia akili sawa sawa!
Mimi nilivyojifunza ukitaka kujua iko kasi tizama wakati ikipita kwenye tunnels utagundua kasi sio ya nchi hii.Duh! I hope na SGR yetu ina similar technology ukizingatia track ni moja tu kwenda na kurudi.
It should be such that ikigundua kuna train inakuja oppositely 1km ahead automatically ikate umeme na kusimama. Otherwise, yanaweza tokea maafa yasiyo na mfano.
Ukitaka kujua yanakimbia muwe mmesimamia kupisha la upande wa pili speed yake ni balaa. TRC mtupe assurance ya hii kitu.
Na walifanya la maana kuweka uzio all the way! Wabongo tulivyo vichwa nazi lingepukutisha kila siku.Mimi nilivyojifunza ukitaka kujua iko kasi tizama wakati ikipita kwenye tunnels utagundua kasi sio ya nchi hii.
Huku kwetu inasimama sababu umeme umekatika.Thanks to GOD and the technology.
No driver at the seat, engine rpm should go down, emergency brakes engaged, engine goes to cool down mode then shutdown by itself.
Ndugu yangu rudia Physics yako yaani treni ya SGR i-sense kuwa treni nyingine yaja 1km isimame, unajua hii ya bongo ni 160km/hr, so ni chini ya sekunde 3 imeshamaliza km moja, worse enough kuna nyingine the opposite. Aahh wapi....!!! Ndema.Duh! I hope na SGR yetu ina similar technology ukizingatia track ni moja tu kwenda na kurudi.
It should be such that ikigundua kuna train inakuja oppositely 1km ahead automatically ikate umeme na kusimama. Otherwise, yanaweza tokea maafa yasiyo na mfano.
Ukitaka kujua yanakimbia muwe mmesimamia kupisha la upande wa pili speed yake ni balaa. TRC mtupe assurance ya hii kitu.
Unaanza kuleta mambo ya " holiwudi" sasa 😂😂😂Mambo ya Vigilance control hayo mzee ni muda wa 60 sec tu kitu kinaanza ku alert.
Hiyo ya kukanyaga mbona siyo, hapo c anakuwekea jiwe aruka zakeKwa zile bullet train za japan, dereva kuna kifaa anatakiwa kukanyaga kila ya dakika 2 hivi. Kisipokanyagwa safety measures zinakua-activated fasta
SureLina uwezo wa kucheki kama kuna "active" driver otherwise linakata umeme. I think seat ina sensor za kucheki kama pana makalio juu yake temperature between 35 to 38 Celsius.