komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Tusubiri taarifa za uchunguzi kama sio wale wa naniii itakuwa bahati auHuyu itakuwa mkiristo mwenye msimamo mkali wa dini yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri taarifa za uchunguzi kama sio wale wa naniii itakuwa bahati auHuyu itakuwa mkiristo mwenye msimamo mkali wa dini yake
Sio Ufaransa tu. Hata Vatican inategemewa waislam wengi watakuwepo huko baada ya watu wengi kuujua ukweliHuyo atakuwa kobazi tu........na hivi ufaransa yamejazana utadhani wapo Indonesia ni balaaa sana
Alivyojitoa muhanga kajua kaondoka na wagalatia 400!Jamani mbona sina sumu, hali ya hewa naichafuaje
Hapo sasa. Na mchuma wenyewe ulivyoundwa kibabe, ukizingua unajisimamisha wenyewe na abiria wanashuka mwendo wa konokono.Alivyojitoa muhanga kajua kaondoka na wagalatia 400!
Tutegemee sasa wakimbizi watatoka Vatican na kukimbilia Afghanistan? Maana wakishakuwa kobaz tupu huko Vatican lazima waanze vita kama nchi za asili walizotoka.Sio Ufaransa tu. Hata Vatican inategemewa waislam wengi watakuwepo huko baada ya watu wengi kuujua ukweli
Kwamba ile kaaba ni jiwe la kimondo........au??Sio Ufaransa tu. Hata Vatican inategemewa waislam wengi watakuwepo huko baada ya watu wengi kuujua ukweli
😂Umewaza mbali sana mkuuLina uwezo wa kucheki kama kuna "active" driver otherwise linakata umeme. I think seat ina sensor za kucheki kama pana makalio juu yake temperature between 35 to 38 Celsius.
Simple biology chief! Normal human temperature is 36 Centigrade. Nimeipa range just in case ana homa or otherwise itachezea 35 to 38; nje ya hapo hawezi kuwa kazini.😂Umewaza mbali sana mkuu
A rest in peace wakati alitaka kuua watu. Mimi namwombea atupwe kwenye unquenchable fire.Nimeipenda hiyo treni.
Marehemu a-rest in peace.
Alikuwa anajua kwamba treni itajisimamisha yenyewe na watu hawatakufa.A rest in peace wakati alitaka kuua watu. Mimi namwombea atupwe kwenye unquenchable fire.
Ndiyo kwenye unquenchable fire🔥
Sidhani kama alikuwa anajua hilo.Alikuwa anajua kwamba treni itajisimamisha yenyewe na watu hawatakufa.
Dereva anafahamu gari lakeSidhani kama alikuwa anajua hilo.
Serious kama una uelewa na treni vigilance ni sehemu muhimu sana katika locomotive kama safety device kwasababu locomotive zote zina penalty application na emergency application sasa basi endapo utaendesha train kwa zaidi ya dakika bila kugusa kitu chochote hiyo VCD itaalert kwa kimulimuli cha mwanga ili kama kweli upo active uki reset endapo utaacha itakaa kwa sec kadhaa pia kisha ita alert kwa sound kwa sec endapo kama kutakuwa hakuna response yoyote ile either kureset kwenye button switch yake au kugusa kitu chochote kile basi main control system itaifungua alert magnetic valve kumwaga upepo wote kwenye system na kumbuka kitendo cha Brake pipe kuwa 0PSI kuna activate PCS yani Pneumatic Control switch ili kufanya penalty application of the brake. Kwahiyo treni lazima kusimama mzee.Unaanza kuleta mambo ya " holiwudi" sasa 😂😂😂
Umeipenda hiyo treni au technology iliyotumika kwe ye hiyo treni sweetheart? Naimani kwa technology hiyo treni zenye uwezo huo zitakuwa nyingi tu huko Ufaransa.Nimeipenda hiyo treni.
Marehemu a-rest in peace.
Asante kwa kutoa huu ufafanuzi. Demi soma hii technologySerious kama una uelewa na treni vigilance ni sehemu muhimu sana katika locomotive kama safety device kwasababu locomotive zote zina penalty application na emergency application sasa basi endapo utaendesha train kwa zaidi ya dakika bila kugusa kitu chochote hiyo VCD itaalert kwa kimulimuli cha mwanga ili kama kweli upo active uki reset endapo utaacha itakaa kwa sec kadhaa pia kisha ita alert kwa sound kwa sec endapo kama kutakuwa hakuna response yoyote ile either kureset kwenye button switch yake au kugusa kitu chochote kile basi main control system itaifungua alert magnetic valve kumwaga upepo wote kwenye system na kumbuka kitendo cha Brake pipe kuwa 0PSI kuna activate PCS yani Pneumatic Control switch ili kufanya penalty application of the brake. Kwahiyo treni lazima kusimama mzee.
Technology iliyotumikaUmeipenda hiyo treni au technology iliyotumika kwe ye hiyo treni sweetheart? Naimani kwa technology hiyo treni zenye uwezo huo zitakuwa nyingi tu huko Ufaransa.