Ufaransa: Dereva wa treni ajirusha nje wakati anaendesha, watu 400 wanusurika kufa

Huyo atakuwa kobazi tu........na hivi ufaransa yamejazana utadhani wapo Indonesia ni balaaa sana
 
Sio Ufaransa tu. Hata Vatican inategemewa waislam wengi watakuwepo huko baada ya watu wengi kuujua ukweli
 
Tutegemee sasa wakimbizi watatoka Vatican na kukimbilia Afghanistan? Maana wakishakuwa kobaz tupu huko Vatican lazima waanze vita kama nchi za asili walizotoka.
 
Lina uwezo wa kucheki kama kuna "active" driver otherwise linakata umeme. I think seat ina sensor za kucheki kama pana makalio juu yake temperature between 35 to 38 Celsius.
😂Umewaza mbali sana mkuu
 
Nikifikiria hii treni ya kariakoo gombo la mboto nayopanda daily..!!
Nitaanza kuwaombea madereva wake kwa Mungu
 
😂Umewaza mbali sana mkuu
Simple biology chief! Normal human temperature is 36 Centigrade. Nimeipa range just in case ana homa or otherwise itachezea 35 to 38; nje ya hapo hawezi kuwa kazini.

So, train likisense something outside that range lazima likate moto kuokoa maisha. Simple logic.
 
Unaanza kuleta mambo ya " holiwudi" sasa 😂😂😂
Serious kama una uelewa na treni vigilance ni sehemu muhimu sana katika locomotive kama safety device kwasababu locomotive zote zina penalty application na emergency application sasa basi endapo utaendesha train kwa zaidi ya dakika bila kugusa kitu chochote hiyo VCD itaalert kwa kimulimuli cha mwanga ili kama kweli upo active uki reset endapo utaacha itakaa kwa sec kadhaa pia kisha ita alert kwa sound kwa sec endapo kama kutakuwa hakuna response yoyote ile either kureset kwenye button switch yake au kugusa kitu chochote kile basi main control system itaifungua alert magnetic valve kumwaga upepo wote kwenye system na kumbuka kitendo cha Brake pipe kuwa 0PSI kuna activate PCS yani Pneumatic Control switch ili kufanya penalty application of the brake. Kwahiyo treni lazima kusimama mzee.
 
Nimeipenda hiyo treni.
Marehemu a-rest in peace.
Umeipenda hiyo treni au technology iliyotumika kwe ye hiyo treni sweetheart? Naimani kwa technology hiyo treni zenye uwezo huo zitakuwa nyingi tu huko Ufaransa.
 
Asante kwa kutoa huu ufafanuzi. Demi soma hii technology
 
Umeipenda hiyo treni au technology iliyotumika kwe ye hiyo treni sweetheart? Naimani kwa technology hiyo treni zenye uwezo huo zitakuwa nyingi tu huko Ufaransa.
Technology iliyotumika
 
Back
Top Bottom