Ufaransa: Dereva wa treni ajirusha nje wakati anaendesha, watu 400 wanusurika kufa

Ufaransa: Dereva wa treni ajirusha nje wakati anaendesha, watu 400 wanusurika kufa

Naamini hata SGR zetu zipo hivyo, maana mmh
Inawezekana kwasababu hatukuwahi kuambiwa specifications and functionalities ya trains zetu. Ila litakapotokea jambo la kama huyo dereva wa ufaransa ndio tutajua kuwa na ya kwetu hiyo technology yanayo ama😀
 
Naamini hata SGR zetu zipo hivyo, maana mmh
Inawezekana kwasababu hatukuwahi kuambiwa specifications and functionality ya trains zetu. Ila litakapotokea jambo la kama huyo dereva wa ufaransa ndio tutajua kuwa na ya kwetu hiyo technology yanayo ama😀
 
Mzungu afi kibwege ivo
Mkuu zaidi ya watu elfu 6 kwa siku wanakufa huko uzunguni, kwanini hawazuii??
Usiwe unajipa moyo mwenye control ya uhai wa kila kitu na kila mtu ni mwenyewe Muumba, muda ukifika hakuna wa kuzuia wala kucheleweshwa, ndege iliyoanguka Boing 737 juzi walipona watu wawili tu waliobaki wote muda wao ulifika au pia unataka kusema kuna miujiza kutoka kwa mzungu?
 
Sio Ufaransa tu. Hata Vatican inategemewa waislam wengi watakuwepo huko baada ya watu wengi kuujua ukweli
Kama hujui baada ya karne moja ijayo asilimia 80 ya watu duniani watakuwa wameachana kabisa na mambo ya dini, mfano mdogo tu hata hapa Tanzania watu tayari wameshaanza huo mwendo hasa hasa vijana.

Kadri siku zinavyozidi kusonga ndivyo watu wanavyogundua kwamba Mungu hana dini na kwamba dini hamuingizi mtu mbinguni ila ni usanii tu wa wanadamu.
 
Shetani kawaingia itakuwa hao
 
Mambo ya Vigilance control hayo mzee ni muda wa 60 sec tu kitu kinaanza ku alert.
Tayari wameanza watz ku proposes theories as if wao ndo wameiunda hyo technology hamjambo kwa kujipakulia minyama haya hapa kwenu na huko kazura simba inataumika wapi
 
Ingekuwa nchi yetu muda huu ingekuwa msiba wa taifa bila kusahau kuundwa kwa tume.
 
Wakuu,

Abiria 400 wa Treni nchini Ufaransa wamenusurika kifo baada ya dereva wa Treni kujirusha huku treni ikiwa kwenye mwendo kasi siku ya December 25,2024
.
Mamlaka ya reli Ufaransa imesema kuwa Dereva huyo aliyefahamika kwa jina la Bruno Rejony (52) mwenye uzoefu wa muda mrefu kwenye udereva wa Treni alitimiza dhamira yake ya kujiua na mwili wake uligundulika masaa mawili baadae.
.
Kutokana na teknolojia ya hali ya juu ya treni hiyo ilisimama yenyewe baada ya kugundua kuwa dereva hayupo kwenye kiti chake. Tukio hili lilisababisha kuchelewa kwa safari nyingi za Treni Jijini Paris siku ya Christmas

========================================================

More than 400 train passengers avoided harm on Christmas Eve after a driver jumped from the cab, leaving the train unmanned, the company says.

French national railway company SCNF told PEOPLE in a statement that the incident occurred on a high-speed line around 8 p.m. local time on Christmas Eve in the Seine-et-Marne region to the east of Paris when a train driver died by suicide "while the train was moving.”

“The entire railway family is in mourning and is very marked on this Christmas Day by this terrible tragedy,” SCNF added in the translated statement.

The company said that the train avoided disaster as it was equipped with a new technology called the “Automatic Standby with Downforce Control,” which checks to ensure that there's an “active” driver running the train “at all times.”

The system kicked in and safely brought the train to a stop on the tracks.

Source: People
Huku ndio kuvurugwa
 
Tayari wameanza watz ku proposes theories as if wao ndo wameiunda hyo technology hamjambo kwa kujipakulia minyama haya hapa kwenu na huko kazura simba inataumika wapi
Bro nimekaa darasani miaka 4 kwa ajili ya hilo dude acha ujuaji
 
Back
Top Bottom