Ufaransa: Dereva wa treni ajirusha nje wakati anaendesha, watu 400 wanusurika kufa

Ahaaa aisee.unakuta umeachwa vibaya halafu kuna abiria wanajifanya kupendana kukumbatiana ovyo na mabusu wee hata Mimi nawaambia tukutane ulimwengu mwingine mkiwa. Mmeachana kama mimi pumbavu zenu
 
Mimi nilivyojifunza ukitaka kujua iko kasi tizama wakati ikipita kwenye tunnels utagundua kasi sio ya nchi hii.
 
Ndugu yangu rudia Physics yako yaani treni ya SGR i-sense kuwa treni nyingine yaja 1km isimame, unajua hii ya bongo ni 160km/hr, so ni chini ya sekunde 3 imeshamaliza km moja, worse enough kuna nyingine the opposite. Aahh wapi....!!! Ndema.
 
Kwa zile bullet train za japan, dereva kuna kifaa anatakiwa kukanyaga kila ya dakika 2 hivi. Kisipokanyagwa safety measures zinakua-activated fasta
Hiyo ya kukanyaga mbona siyo, hapo c anakuwekea jiwe aruka zake
 
Huko south Korea, hii ndio habari ya mjini,
 

Attachments

  • 5914501-df52408ff87d558cb1f5776035115496.mp4
    790.7 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…