Ufaransa: Dereva wa treni ajirusha nje wakati anaendesha, watu 400 wanusurika kufa

Emugabo
 
Wazungu washavurugwa technology imeamia Asian uchumi umeamia Asian Africa nao wanawatoa mbio wakoloni Zama aziwezi kubaki kana jana. Maisha lazima ya songe na kwengine..
 
Ndugu yangu rudia Physics yako yaani treni ya SGR i-sense kuwa treni nyingine yaja 1km isimame, unajua hii ya bongo ni 160km/hr, so ni chini ya sekunde 3 imeshamaliza km moja, worse enough kuna nyingine the opposite. Aahh wapi....!!! Ndema.
Hiyo physics umesomea Kizimkazi obviously!!

Kwani kama speed ni 160Km/H it means inatembea 2.67 Km/minute

Ambayo inatuletea 160K/H = na 160km ÷ 3600 seconds
= na 0.0444

Ambayo ni M 44.4

Kwa hiyo kwa sekunde tatu itambea M133.2
 
Kutokana na teknolojia ya hali ya juu ya treni hiyo ilisimama yenyewe baada ya kugundua kuwa dereva hayupo kwenye kiti chake. Tukio hili lilisababisha kuchelewa kwa safari nyingi za Treni Jijini Paris siku ya Christmas
Viongozi wetu wamejifunza nini kutokana na red line
 
ata SGR ipo iyo technology ya sensitivity ya dreva hakiwa hana endesha treni kipo upande wa kulia sikumbuki mda hila kina mda wake wa ku sense kama yupo au hayupo hata ikitokea kafarik hinasensi
 
ata SGR ipo iyo technology ya sensitivity ya dreva hakiwa hana endesha treni kipo upande wa kulia sikumbuki mda hila kina mda wake wa ku sense kama yupo au hayupo hata ikitokea kafarik hinasensi
Wewe raia wa nchi gani unaandika kiswahili kibaya namna hii?
 
Acha kabisa! Mzungu acha achana naye!
Kwetu wote kwishnei!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…