Ufaransa: Dereva wa treni ajirusha nje wakati anaendesha, watu 400 wanusurika kufa

Naamini hata SGR zetu zipo hivyo, maana mmh
Inawezekana kwasababu hatukuwahi kuambiwa specifications and functionalities ya trains zetu. Ila litakapotokea jambo la kama huyo dereva wa ufaransa ndio tutajua kuwa na ya kwetu hiyo technology yanayo ama๐Ÿ˜€
 
Naamini hata SGR zetu zipo hivyo, maana mmh
Inawezekana kwasababu hatukuwahi kuambiwa specifications and functionality ya trains zetu. Ila litakapotokea jambo la kama huyo dereva wa ufaransa ndio tutajua kuwa na ya kwetu hiyo technology yanayo ama๐Ÿ˜€
 
Mzungu afi kibwege ivo
Mkuu zaidi ya watu elfu 6 kwa siku wanakufa huko uzunguni, kwanini hawazuii??
Usiwe unajipa moyo mwenye control ya uhai wa kila kitu na kila mtu ni mwenyewe Muumba, muda ukifika hakuna wa kuzuia wala kucheleweshwa, ndege iliyoanguka Boing 737 juzi walipona watu wawili tu waliobaki wote muda wao ulifika au pia unataka kusema kuna miujiza kutoka kwa mzungu?
 
Nami naungana nao kuilaumu CCM kushindwa kuwekwa mifumo kama hiyo hapa nchini,........
Lawama ziendelee ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Hii akina Erythromycin au msanii lazima ailaumu ccm
 
Sio Ufaransa tu. Hata Vatican inategemewa waislam wengi watakuwepo huko baada ya watu wengi kuujua ukweli
Kama hujui baada ya karne moja ijayo asilimia 80 ya watu duniani watakuwa wameachana kabisa na mambo ya dini, mfano mdogo tu hata hapa Tanzania watu tayari wameshaanza huo mwendo hasa hasa vijana.

Kadri siku zinavyozidi kusonga ndivyo watu wanavyogundua kwamba Mungu hana dini na kwamba dini hamuingizi mtu mbinguni ila ni usanii tu wa wanadamu.
 
Shetani kawaingia itakuwa hao
 
Mambo ya Vigilance control hayo mzee ni muda wa 60 sec tu kitu kinaanza ku alert.
Tayari wameanza watz ku proposes theories as if wao ndo wameiunda hyo technology hamjambo kwa kujipakulia minyama haya hapa kwenu na huko kazura simba inataumika wapi
 
Ingekuwa nchi yetu muda huu ingekuwa msiba wa taifa bila kusahau kuundwa kwa tume.
 
Huku ndio kuvurugwa
 
Nami naungana nao kuilaumu CCM kushindwa kuwekwa mifumo kama hiyo hapa nchini,........
Lawama ziendelee ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Ipi sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ya kujirusha nje ya treni?
 
Tayari wameanza watz ku proposes theories as if wao ndo wameiunda hyo technology hamjambo kwa kujipakulia minyama haya hapa kwenu na huko kazura simba inataumika wapi
Bro nimekaa darasani miaka 4 kwa ajili ya hilo dude acha ujuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ