Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

sio kwel
 
kwa miaka 10 Urusi hajamaliza imega Ukraine ? au anamega dunia nzima ?
PUTIN AKILI KUBWA :Jiwe moja unaua ndege 100.
Nyie vibaraka lazima muharishe maana mabwana zenu wanakabwa vibaya, hii vita imeamsha mengi duniani sio Urusi na Ukraine tu
 
Uko serious au unaandika tu kufurahisha genge
 
Vita ni vita ila Ukraine wanapitia vita ngumu sana. Kuliko hata pale gaza. Isingekuwa ni misaada siujui saizi Ukraine ingekuwa kwenye hali gani. Ila tunashukuru dunia imeendelea kusimama na Ukraine.
Usifananishe vitu ambavyo havifanani.

Putin hawezi kuipiga Kyiv kama Netanyahu anavyoipiga Gaza.

Kyiv ipo intact hata viongozi wakuu wa mataifa mbalimbali wanatembelea pale.

Gaza hata chakula chenyewe hakiingi pale.

Kwanini mnapenda kuandika vitu visivyokuwa na uhalisia? Au mnafurahishana tu?
 
Na NATO walikuwa wazi kabisa kwamba nia yao ni kuiangusha Russia kiuchumi, kwahiyo Russia aandae pesa tu ya vita.
Russia anatumia silaha za gharama nafuu sana kuangamiza silaha za NATO.

NATO tayari maji yanazidi unga.
France kuingia Ukraine ni ishara tayari NATO wanazidiwa.
 
Sasa mnamwingiza mtu ikulu hata kupiga mtu Kofi hajawahi! Nchi za Africa zinataka mtu ambae yaani ripoti ya CAG inasomwa Kuna mtu anakula mabuti ya utosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…