Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

Ulichosema ni sahihi kabisa. Putin alianza polepole kuingia Afrika kwa kuwaingiza Wagner kule Afrika ya Kati. Baadaye akaanza kunyang'anya Ufaransa Makoloni yake. Kwa sasa Afrika Magharibi yote huenda ikawa chini ya Himaya ya Urusi. Maana nchi zote zilizokuwa Makoloni ya Ufaransa zimeanza kufuta Mitaala ya Shule inayoendeshwa kwa Kifaransa na kuirudisha kwenye Lugha za asili yao.
sio kwel
 
kwa miaka 10 Urusi hajamaliza imega Ukraine ? au anamega dunia nzima ?
PUTIN AKILI KUBWA :Jiwe moja unaua ndege 100.
Nyie vibaraka lazima muharishe maana mabwana zenu wanakabwa vibaya, hii vita imeamsha mengi duniani sio Urusi na Ukraine tu
Screenshot_20240313-184755_RT News.jpg
 
Putin na Russia kama wamechanganyikiwa hvi sabb awali walitegemea operation Yao itachukua may be two weeks kama Putin alivosema awali..

Alipojichanyanya mamb yamekua tofauti na matarajio thus why kauli zake za siku hzi kam mnamsoma anatishia kutumia nyuklia..mara aseme vikosi vya nyuklia vikae mguu sawa..mara aseme vikosi vya nyuklia vikae Kwa tahadhar zote..hzi ni dalili za mtu alie disparete coz hakutegemea mamb yangekua hvo..

Conclusion... Russian camp ni loser!!
Uko serious au unaandika tu kufurahisha genge
 
Vita ni vita ila Ukraine wanapitia vita ngumu sana. Kuliko hata pale gaza. Isingekuwa ni misaada siujui saizi Ukraine ingekuwa kwenye hali gani. Ila tunashukuru dunia imeendelea kusimama na Ukraine.
Usifananishe vitu ambavyo havifanani.

Putin hawezi kuipiga Kyiv kama Netanyahu anavyoipiga Gaza.

Kyiv ipo intact hata viongozi wakuu wa mataifa mbalimbali wanatembelea pale.

Gaza hata chakula chenyewe hakiingi pale.

Kwanini mnapenda kuandika vitu visivyokuwa na uhalisia? Au mnafurahishana tu?
 
Na NATO walikuwa wazi kabisa kwamba nia yao ni kuiangusha Russia kiuchumi, kwahiyo Russia aandae pesa tu ya vita.
Russia anatumia silaha za gharama nafuu sana kuangamiza silaha za NATO.

NATO tayari maji yanazidi unga.
France kuingia Ukraine ni ishara tayari NATO wanazidiwa.
 
Huyu mwamba ni kiazi sana..Putin kamuonesha kuwa anaweza kumunyang'anya ugali mdomoni na asifanye kitu chochote.

Inshort ni kwambwa Russia anaweza kukuneutralize kwa namna nyingine kabisaa ambayo hukutegemea ukabaki umetoa mimacho yako mikubwa.

hapa ndo unakumbuka ule usemi kuwa kiongozi ambaye kapitia mafunzo ya ujasusi ni bora zaidi kuliko kiongozi ambaye anapitishwa na Raia kwa mihemuko ya utajiri na mali.

Natamani nchi yangu ilione hilo kwa jicho la tatu kabla ya kuweka watu kwenye madaraka.
Sasa mnamwingiza mtu ikulu hata kupiga mtu Kofi hajawahi! Nchi za Africa zinataka mtu ambae yaani ripoti ya CAG inasomwa Kuna mtu anakula mabuti ya utosi
 
Back
Top Bottom