Ufaransa: Macron azitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

BREAKING🚨 Emmanuel Macron amezitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel ili zitumike Gaza.

"Nadhani leo, kipaumbele ni kwamba turudi kwenye suluhisho la kisiasa, kwamba tuache kupeleka silaha kupigana huko Gaza"…🇫🇷🇵🇸

View: https://x.com/resist_05/status/1842563795111264644?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nentanyahu ziku zote anatafuta huruma kwa Ulaya na Marekani sililiza majibu yake.
==============

🚨🇮🇱 🇫🇷NETANYAHU: MACRON ANATAKIWA KUONA AIBU KWA KUITA MAPAMBANO YA MIKONO DHIDI YA ISRAEL.

"Israel inapigana katika pande saba-dhidi ya Hamas huko Gaza, Hezbollah huko Lebanon, na mashambulizi yanayoungwa mkono na Iran kutoka Yemen, Iraq, Syria na Iran yenyewe.

Hata hivyo, viongozi kama Rais Macron wanatoa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Israel. Aibu kwao.

Wakati mhimili wa ugaidi ukisimama pamoja, baadhi ya viongozi wa Magharibi wanaigeukia Israel kwa fedheha.

Israeli itashinda kwa msaada au bila msaada wao, lakini aibu yao itadumu kwa muda mrefu baada ya vita kushinda."

Chanzo: Netanyahu @EmmanuelMacron

View: https://x.com/marionawfal/status/1842633930647781496?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Unaendelea kujifariji ukiwa mitaa gani?
 
Netanyahu amechukizwa sana na kitendo cha ufaransa kusitisha upelekaji wa silaha kwenda Israel. Ufaransa anadai hawezi kupeleka silaha kuuwa watoto wanawake na raia wasio na hatia huko Gaza. Israel anapigana vita kama mwendawazimu haangalii raia Wala watoto anapiga tu.
 
Wamemdekeza sana anapewa silaha anaenda kuuwa watoto na kubomoa nyumba. Wazungu wanaona huyu mpuuzi anazidi kutuingiza chaka.
 
Wanaukumbi.

BREAKING🚨 Emmanuel Macron amezitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel ili zitumike Gaza.

"Nadhani leo, kipaumbele ni kwamba turudi kwenye suluhisho la kisiasa, kwamba tuache kupeleka silaha kupigana huko Gaza"…🇫🇷🇵🇸

View: https://x.com/resist_05/status/1842563795111264644?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nentanyahu ziku zote anatafuta huruma kwa Ulaya na Marekani sililiza majibu yake.
==============

🚨🇮🇱 🇫🇷NETANYAHU: MACRON ANATAKIWA KUONA AIBU KWA KUITA MAPAMBANO YA MIKONO DHIDI YA ISRAEL.

"Israel inapigana katika pande saba-dhidi ya Hamas huko Gaza, Hezbollah huko Lebanon, na mashambulizi yanayoungwa mkono na Iran kutoka Yemen, Iraq, Syria na Iran yenyewe.

Hata hivyo, viongozi kama Rais Macron wanatoa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Israel. Aibu kwao.

Wakati mhimili wa ugaidi ukisimama pamoja, baadhi ya viongozi wa Magharibi wanaigeukia Israel kwa fedheha.

Israeli itashinda kwa msaada au bila msaada wao, lakini aibu yao itadumu kwa muda mrefu baada ya vita kushinda."

Chanzo: Netanyahu @EmmanuelMacron

View: https://x.com/marionawfal/status/1842633930647781496?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Huyu mzee atakufa kwa stress balaa naona mpaka sauti imebadilika
 
West wamembeba sana halafu tena anawakoromea ...omba omba analazimisha msaada
 
Unaendelea kujifariji ukiwa mitaa gani?
Huyu dogo nahisi hata vyupi vinapwaya kwa jinsi miungu yao wanayoiabudu inavyochezea kichapo🤣
ISrael itashinda hii vita pamoja na msaada wa Ufaransa au hata bila msaada wa Macron
 
Wanaukumbi.

BREAKING🚨 Emmanuel Macron amezitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel ili zitumike Gaza.

"Nadhani leo, kipaumbele ni kwamba turudi kwenye suluhisho la kisiasa, kwamba tuache kupeleka silaha kupigana huko Gaza"…🇫🇷🇵🇸

View: https://x.com/resist_05/status/1842563795111264644?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nentanyahu ziku zote anatafuta huruma kwa Ulaya na Marekani sililiza majibu yake.
==============

🚨🇮🇱 🇫🇷NETANYAHU: MACRON ANATAKIWA KUONA AIBU KWA KUITA MAPAMBANO YA MIKONO DHIDI YA ISRAEL.

"Israel inapigana katika pande saba-dhidi ya Hamas huko Gaza, Hezbollah huko Lebanon, na mashambulizi yanayoungwa mkono na Iran kutoka Yemen, Iraq, Syria na Iran yenyewe.

Hata hivyo, viongozi kama Rais Macron wanatoa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Israel. Aibu kwao.

Wakati mhimili wa ugaidi ukisimama pamoja, baadhi ya viongozi wa Magharibi wanaigeukia Israel kwa fedheha.

Israeli itashinda kwa msaada au bila msaada wao, lakini aibu yao itadumu kwa muda mrefu baada ya vita kushinda."

Chanzo: Netanyahu @EmmanuelMacron

View: https://x.com/marionawfal/status/1842633930647781496?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mnafarijiana huko mitandaoni wakati France alishasogeza majeshi yake kuungana na na UK na US.
Tofautisha kati ya kumpatia silaha na kusaidia kupambana
 
Huwa siwaelewi wajinga wajinga wapenzi wa mahaba wakilalamika hadharani wanadhani kila mtu ni mjinga anahadaiwa mara moja na uongo wao.. wanang'ang;ana tu Israel inaua watoto ukiwauliza watoto wapi wanasema Hamas wamesema hahahaha... na aljazeera zile movie zao za kitoto yaani wanaugeuza ulimwengu kama tunaishi enzi za Mtume wao full wajinga walikuwepo.. now U kimuuliza Prophet Google what is Genocide anakujibu idadi ya raia inaanzia ngapi,Jamii gani inakuwa imehusishwa na kuhusika unaelewa nini genocide Aljazeera na waislam wana lalama Israel inafanya Genocide wakati ukirudi nyuma unakuta waislam safi Hamas ndio walifanya practice ya Genocide haswa huku wakitangaza na kurecord. Tunajua Judea na Samalia na Jordan kulikuwa na Wayahudi wakauwawa wote hizo ndio Cleansing of ethinic.

Mama analalamika eti Ardhi ya Palestina sasa sijui hajui historia hata hilo jina waarabu walijipatia tu kutoka chama cha Mmisri Arafat kufuta Jina Arabs na kuwa Palestine huku hawajui tafsiri ya Palestina kuwa ni Wahamiaji. Israel ilivamiwa na Arabs Umary kaacha vichembe chembe ndio wanadai eti kwao.. so msituletee habari za wapumbavu.. wakiongea vya kuwafurahisha mnaleta wakisupport Israel hamleti.. Msemeni na Kagame basi kule Goma kama hajawatafuta mlipo awafyeke..
 
Netanyahu lazima awachane wanafiki.. sasa kama wewe humsaidii Israel Silaha why ushawishi wapumbavu wenzako waache kufanya biashara na Israel.. yeye anafanya nini nchi za Africa tena nchi zinazoongea kifaransa ndio zina vita.. aende akawasalimie DRC,Africa ya kati, Haiti anajifanya haoni kafurushwa Senegal sijuihuko atamuweza Netanyahu kiboko wa Allah na watumwa wake... how come Marcon anashobokea watu ambao wameambiwa na mtume wao kuwa Saturday for Jews and Sunday for Christian yaani Wayahudi wauliwe Jumamosi na Wakristo wauliwe Jumapili ubakie Uislam tu.

"On Saturday we kill the Jews, on Sunday we kill the Christians"

First the Saturday, then the Sunday people, third the secularized West​

The millennial history of Jews and Christians in countries where they lived for centuries, has become an immense requiem.​

  • First the Saturday, then the Sunday people, third the secularized West

First the Saturday, then the Sunday people, third the secularized West​

The millennial history of Jews and Christians in countries where they lived for centuries, has become an immense requiem.​

Giulio Meotti
Published: Jul 10, 2019, 8:10 PM (GMT+3)
Updated: Jul 12, 2019, 12:57 AM

JihadCoptsAntisemitism
First the Saturday, then the Sunday people, third the secularized West

"On Saturday we kill the Jews, on Sunday we kill the Christians", or with greater tact, “first the Saturday people, then the Sunday people”, is not just a slogan. It deals with a precise program of religious cleansing, pronounced by Islamist leaders and promulgated by Jihadists. Today, almost all the “people of Saturday” have disappeared from the countries that were their home for centuries, even millennia. And now the Christians - the Sunday people - are paying a terrible price for their faith.
Their millennial history has become an immense requiem.
This week Marcelle Haroun, mother of the current president of Cairo’s Jewish community Magda Haroun, died at the age of 93. Her death leaves five Jews known to be living in the Egyptian capital. Say it again: 5. In Africa and Middle in the East there are hundreds of abandoned Jewish sites in Morocco (460), Iraq (352), Algeria (320), Yemen (301), Tunisia (231) and Syria (63).
Like the famous Eliahu Hanavi synagogue of Damascus. Or the synagogue of Djerba, in Tunisia. Or the dar al Bishi synagogue in Tripoli, Libya. When these Jews left for Israel, the West didn't care. When the Christians left for the West, the West didn't care, again.
“In February 2014, I met the head of the Jewish community in Egypt, Magda Haroun”, Samuel Tadros wrote in the New York Times. “Today, she told me, there are 15 Jews left in the country, out of a population that once stood at nearly 100,000. Ms. Haroun said she was afraid the Copts would soon follow. At the time I thought the prospect was overblown. There are millions of Copts in Egypt. Where would all of them possibly go? Surely some will remain, I reasoned. But I had left the country myself in 2009 — and so have hundreds of thousands of Copts. Ms. Haroun was right”.
Last April, the Wall Street Journal ran a headline: “Anti-Christian violence surges in Egypt, prompting an exodus”. In 1971, when Shenouda became Pope of the Coptic Church in Egypt, there were 7 Coptic churches outside the Middle East. When he died in 2012, there were over 600 Coptic churches worldwide. Today to enter the ancient Christian quarter of Cairo, you pass concrete blocks, metal detectors, armed men everywhere. To monitor the monasteries, garrisons with tanks.
Fear is everywhere. But also faith. The names Maria or Antonio continue to be given to newborns. Many carry the tattooed cross on the wrist. In case of attack it would be impossible to conceal the Christian faith. But the Copts of Egypt show a resistance and a pride unknown to us Westerners. And here comes the third part of the slogan: “First the Saturday people, second the Sunday people, third the secularized West”.
Born in Cairo in 1951 to a Coptic family, Jean Maher, after thirty years of career as an engineer in the automotive sector, has committed to defending human rights in his native country following the escalation of anti-Christian persecutions and the revolution of 2011. Maher said: “The Copts are important to them (the jihadists, ndr) as a symbol to be eradicated - they represent about fifteen million of people out of an Egyptian population of 90 million - and the attacks will continue. The Christians in their eyes represent the ungodly because, if one is not Muslim, one is kuffar (unbeliever, ed) and must convert to Islam. Hitting the Copts is also a signal for Europe: what happens in Egypt is what will also happen to the West”.
And here comes the fourth part of the slogan: “First the Saturday people, second the Sunday people, third the secularized West but it doesn't care”.
The same evil ideology which purged the Middle East of its Jews and Christians is now at work in Europe. Salafists, Muslim Brotherhood, foreign Islamist regimes, they are working hard to Islamize the Old Continent. And if the situation does not change, they will succeed.

View: https://youtu.be/5gOZdaXQubk
 
Marcon anatafuta support ya Waislam... Waislam kama bendera ukiwaponda ni Fatwa hawakutaki ila ukionesha kuunga mkono ujinga wao wanakupa kipaumbele.. tunaona Mengi sana even Vitabu vyao vya Hadithi full uongo wanavikubali ukiwaumbua wanasema ni Hadith dhaifu ila hazifutwi zinatumika kuwanasa wajinga kuingia dini yao ya Ushetani.. Muslim kuna hadi wayahudi wanawakubali kisa wanawasifia.

Kwa Maneno ya Marcon wanaweza kumuita Kharifah
 
Netanyahu amechukizwa sana na kitendo cha ufaransa kusitisha upelekaji wa silaha kwenda Israel. Ufaransa anadai hawezi kupeleka silaha kuuwa watoto wanawake na raia wasio na hatia huko Gaza. Israel anapigana vita kama mwendawazimu haangalii raia Wala watoto anapiga tu.
Unategemea nini kama magaidi wanakimbia vita na kwenda kujificha kwa wanawake na watoto, watadungunywa huko huko kwa maana hamna namna.
 
Back
Top Bottom