Ufaransa: Macron azitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel

Ufaransa: Macron azitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel

Lamsingi waruhusu Hamas, Hezbollah, Houth nao wapelekewe Silaha ili wajilinde.

Iran naye aondolewe vikwazo ili awe free kuuza na kununua silaha.

Bondia mmoja amefungwa mikono na mwingine mikono yake Iko huru, haiwezi kuwa sawa, Kila mtu afunguliwe mikono zichapwe tuone nani mbabe.
 
Anguko la mayahudi lipo karibu...Mtume Muhammad pbuh anasema katika nyakati za mwisho, Mayahudi watavimba sana kichwa baada ya kumpokea masihi wao wa uongo aka mpinga kristo ila hilo halitawasaidia kwani watakuja kufyekwa wote na waislam.

Suala la muda tu
 
Wangesitisha vita hivyo Macron yupo sahihi sema huyo Netanyahu anatembea mitembeo ya Kigaidi tu nae kapigwa na Iran anatafuta nguvu kutoka NATO si apambane kama anaweza au aache kama hawezi vita sio lazima kama hauna nguvu.
 
Anguko la mayahudi lipo karibu...Mtume Muhammad pbuh anasema katika nyakati za mwisho, Mayahudi watavimba sana kichwa baada ya kumpokea masihi wao wa uongo aka mpinga kristo ila hilo halitawasaidia kwani watakuja kufyekwa wote na waislam.

Suala la muda tu
Hizi ni akili za nyani wa Africa kwahiyo na wewe umekaa unaamini hivyo aisee kweli dini ni uzuzu jitu kama wewe ndio hufukiwa masikini🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unategemea nini kama magaidi wanakimbia vita na kwenda kujificha kwa wanawake na watoto, watadungunywa huko huko kwa maana hamna namna.
Hii imeshashtukiwa ni agenda ya kuwapunguza haiingii akilini mtoto wa wa mwezi mmoja unamuua na kusingizia eti ni gaidi
 
Hii imeshashtukiwa ni agenda ya kuwapunguza haiingii akilini mtoto wa wa mwezi mmoja unamuua na kusingizia eti ni gaidi
Akili za kishoga hizo na mapunguani ndiyo wamebaki wanaamini hivyo hata hawa wanaowapa silaha wamekataa huu upuuzi.
 
Wamemdekeza sana anapewa silaha anaenda kuuwa watoto na kubomoa nyumba. Wazungu wanaona huyu mpuuzi anazidi kutuingiza chaka.
WAAMBIENI MAGAIDI YA ALLAH WAACHE KUJIFICHA KWENYE MWANVULI WA WATOTI
 
🇫🇷🇱🇧 French President Macron also says:

France stands with Lebanon.
 
Kambibi kanamchanganya sana. Atulie zake huko
 
🇫🇷🇱🇧 French President Macron also says:

France stands with Lebanon.
Ni koloni lake....lile taifa la ufaransa ukianza kutafuta raia halisi wa pale ni kwa tochi....limetengenezwa na watu wa mataifa mbalimbali....Macron ameshausoma mchezo mapema tu ila ilibidi aende na upepo wa EU....yanayoendelea UN kwa mataifa almost yte kuwa against Bibi Netapaka kwa rais anayeona mbali ni lazima uhamishe magoli....maana vita vikiisha Hawa taifa teule watatumia ushawishi gani tena watu waanze kushirikiana nao....hapo middle east kwnyewe mshirika alikuwa anamtumqiniq Saudi Arabia naye ndo ndo hyo anqungana na hasimu wako Iran....utaurudisha uchumi wako kwa ushirikiano na wale jamaa wa maandishi matatu tu???...na baadhi ya vibaraka pale Ulaya???....kulipua zile pagers na electronic devices ni hesabu mbaya sana ambayo Wana wa Mungu wameifanya....kuuwa waarabu watu wanaweza wakafumbia macho ila vifaa vya kimawasiliano maana yake hakuna mtu aliye salama.....
 
Wewe mtoto wa jeikei acha umbea ndiomaana ulitaka kunyongwa chaina kwa kesi ya drags.

Acha stori za vijiweni Israel hategemei mtu kugawa kichapo.
alaa kumbe!!!
ngoja tuone...we kula mihogo ya kukaanga hapo buza huku ukisema ''Israel hategemei mtu kugawa kichapo''
 
Back
Top Bottom