Ufaransa: Macron azitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel

Ufaransa: Macron azitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel

alaa kumbe!!!
ngoja tuone...we kula mihogo ya kukaanga hapo buza huku ukisema ''Israel hategemei mtu kugawa kichapo''
Netanyahu kiburi kitamuua hakiamungu huwezi kuendesha nchi kwa kutegemea usa .pekee maana vitu kutoka usa ni ghali mno tofoito na ulaya
 
Netanyahu kiburi kitamuua hakiamungu huwezi kuendesha nchi kwa kutegemea usa .pekee maana vitu kutoka usa ni ghali mno tofoito na ulaya
U.S.A atatoa support kwa Israel hadi dakika ya mwisho, kwa taarifa yako tu ni kwamba wayahudi ndo wanashikilia uchumi wa U.S.A na dunia kwa ujumla na wao ndo wanaamua ni nani awe Rais wa U.S.A na ndiyo maana hakuna hata mgombea yeyote kati ya Kamala au Trump ambaye amelaani uvamizi wa Israel kwa gaza.
 
Ni koloni lake....lile taifa la ufaransa ukianza kutafuta raia halisi wa pale ni kwa tochi....limetengenezwa na watu wa mataifa mbalimbali....Macron ameshausoma mchezo mapema tu ila ilibidi aende na upepo wa EU....yanayoendelea UN kwa mataifa almost yte kuwa against Bibi Netapaka kwa rais anayeona mbali ni lazima uhamishe magoli....maana vita vikiisha Hawa taifa teule watatumia ushawishi gani tena watu waanze kushirikiana nao....hapo middle east kwnyewe mshirika alikuwa anamtumqiniq Saudi Arabia naye ndo ndo hyo anqungana na hasimu wako Iran....utaurudisha uchumi wako kwa ushirikiano na wale jamaa wa maandishi matatu tu???...na baadhi ya vibaraka pale Ulaya???....kulipua zile pagers na electronic devices ni hesabu mbaya sana ambayo Wana wa Mungu wameifanya....kuuwa waarabu watu wanaweza wakafumbia macho ila vifaa vya kimawasiliano maana yake hakuna mtu aliye salama.....
Hapo mwishoni rekebisha sema hakuna gaidi asiyekuwa salama
 
Mnafarijiana huko mitandaoni wakati France alishasogeza majeshi yake kuungana na na UK na US.
Tofautisha kati ya kumpatia silaha na kusaidia kupambana
Macron anataka silaha wapewe Hizbullah
 
Macron anataka silaha wapewe Hizbullah
Awapelekee tu, hajakatazwa.
Ila kitu ambacho wengi hawajakielewa kuhusu kwanini Macron ametoa kauli ile ni kwamba Lenanon ndiyo nchi yenye utamaduni wa kifaransa zaidi pale middle east, anzia elimu, France ni main Lebanon political partner na wana Political bilateral.
Hivyo France ana kila sababu ya kutoa kauli ile sababu when it comes to Lebanob anawajibika, ila hilo haliondoi wajibu wa France kwa Israel kama mshirika inapokuja swala la Israel na nchi nyingine ukiiondoa Lebanon.
 
Back
Top Bottom