Ufaransa: Macron azitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel

alaa kumbe!!!
ngoja tuone...we kula mihogo ya kukaanga hapo buza huku ukisema ''Israel hategemei mtu kugawa kichapo''
Netanyahu kiburi kitamuua hakiamungu huwezi kuendesha nchi kwa kutegemea usa .pekee maana vitu kutoka usa ni ghali mno tofoito na ulaya
 
Netanyahu kiburi kitamuua hakiamungu huwezi kuendesha nchi kwa kutegemea usa .pekee maana vitu kutoka usa ni ghali mno tofoito na ulaya
U.S.A atatoa support kwa Israel hadi dakika ya mwisho, kwa taarifa yako tu ni kwamba wayahudi ndo wanashikilia uchumi wa U.S.A na dunia kwa ujumla na wao ndo wanaamua ni nani awe Rais wa U.S.A na ndiyo maana hakuna hata mgombea yeyote kati ya Kamala au Trump ambaye amelaani uvamizi wa Israel kwa gaza.
 
Hapo mwishoni rekebisha sema hakuna gaidi asiyekuwa salama
 
Mnafarijiana huko mitandaoni wakati France alishasogeza majeshi yake kuungana na na UK na US.
Tofautisha kati ya kumpatia silaha na kusaidia kupambana
Macron anataka silaha wapewe Hizbullah
 
Macron anataka silaha wapewe Hizbullah
Awapelekee tu, hajakatazwa.
Ila kitu ambacho wengi hawajakielewa kuhusu kwanini Macron ametoa kauli ile ni kwamba Lenanon ndiyo nchi yenye utamaduni wa kifaransa zaidi pale middle east, anzia elimu, France ni main Lebanon political partner na wana Political bilateral.
Hivyo France ana kila sababu ya kutoa kauli ile sababu when it comes to Lebanob anawajibika, ila hilo haliondoi wajibu wa France kwa Israel kama mshirika inapokuja swala la Israel na nchi nyingine ukiiondoa Lebanon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…