#COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

Kwani unalazimishwa kwenda sokoni ? utawatuma waliochanjwa wakufanyie hio service wakuletee kwako... Kama jamii wanafanya wanachodhani ni cha manufaa kwa jamii yao
 
Bongo chanjo sio lazima kwenye vinywa vya Mamlaka ila ni lazima kwenye mipango yao ili watu wapige hela linapokuja suala la watu wa ndanindani kule Turiani kupelekewa chanjo, utasikia tumetumia 700m kusambaza na kuchanja Turiani yote.
 
Wakati wote MUNGU ni mwema
 
Kwahiyo wafe njaa au wachome chanjo? 😂😂😂 , dawa ni kumchoma chanjo hausigeli tu, inatosha; ila daah, hausigeli naye ni mtoto wa mtu, siwezi mfanyia hivyo, tutalima wenyewe 😂😂
 
Bado.
"Ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi." Mathayo Mtakatifu 24:30
Hapana..hapa ni ujio wa hukumu ya mwisho..baada ya unyakuo kisha ndio atakuja waz waz kuhukumu ulimwengu..ila wakat wa unyakuo ni kimya kimyaa..mtakuwa wawil kitandani moja atatwaliwa mwingine ataachwaa..mtakuwa shamban wawil mmoja atatwaliwa mmoja ataachwa.
 
Ni sawasawa na kusema umbo la Pundamlia huyo liko ndani Ng'ombe, au umeanza kuchanganyikiwa ndugu?
Ww jamaa mbona unakuwa mzito kuelewa ama umepewa chanjo ya covid!!???
manake ndio mikato yanu hii ku prolong mambo unecessarilly!!!
 
Umeuwa
 
Siku zote mshahara wa ujinga huwa ni madhara makubwa..
Umekariri,hata tukikwambia kifo ni asili yako utapinga.sababu unaishi ndani ya box.
Ndio hapa umuhimu wa katiba unaonekana pale mtu analala huko na kuamka kujiamulia vitu
Katiba ipo,ama huna taarifa??
Unawezaje kuzuia chanjo halafu kuna watu wanahitaji chanjo hiyo, ila kwa opinion zako unajiamulia kusema hapana?
Nani kazuia chanjo??magufuli aliishawahi kuzuia chanjo??
Watanzania wangapi walikua wanasafiri kwenda nje na kucheleweshwa chanjo kuliwaingiza gharama za ajabu kufanya vipimo na kukaa quarantine kwa gharama wasizotarajia?
Una taarifa kwamba mpaka sasa kila nchi ina vigezo vyake na aina yake ya chanjo,au hakuna kitu unaelewa??
Chanjo ingekuja zamani wazee na hata waliokuwa na pre-existing comorbidities wangeokolewa?
Chanjo imeanza kutolewa mwaka gani mkuu???naona ni kama hata huelewi unachoandika.
Maisha ya wangapi yalipotea sababu ya mtu mmoja asiyetaka chanjo? Madhara ya kuwaondoa wategemezi na wapendwa wa familia mbalimbali kwa maamuzi yake binafsi nani atalipa?
Labda uthibitishe kwamba kila mtu alikufa kwa corona,otherways hakuna uhalali wa madai hayo.
Hayo ni machache tu
 
Kweli Dunia inakwenda kasi sana. Yaani tumefikia huku kweli kama Dunia?. Kulazimishana kuuana ma machanjo ya kifo?.

Yote hayo huko ufaransa ni propaganda tu. Yote kwa yote wanailenga Africa tu. Wanatamani sana kuipukutisha Africa.

Kwenye corona nafikiri walioitengeneza walikosea kwenye maswala ya vinasaba,hawakuzingatia vinasaba. Kwa hiyo ikawapiga sana wao. Wakaendelea tu kutabiri kufikia wiki ijayo Africa itapukutika,watakuwa wanazolewa maiti na kijiko barabarani,lakini MUNGU alivyo na maajabu yake,inaendelea kuwapiga huko huko kwao,mpaka sasa inaendelea kuwapukutisha sana kwao tofauti na vifo vya Africa.

Wametaharuki,lengo ilikuwa Africa lakini inawapiga wao. Wakabadiri gear angani wamekuja na chanjo kama hiari,baadae itakuwa lazima. Hapo kuna uwezekano kabisa chanjo iliyoletwa Africa sio wanayochanja wao.

MUNGU ataendelea kututetea na uboya wetu.
 
Ufunuo wa Yohana 13:17
tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
Haya maandiko waliandika wazungu wenyewe
 

Mkuu huko tutafika. Unabii ni lazima utimie.
Wewe jipange tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…