Bavariagal
Member
- Jan 10, 2017
- 91
- 61
Yajayo yanafurahisha Mungu atusaidie
Ameen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yajayo yanafurahisha Mungu atusaidie
Kwanini unafikiri wameletewa afrika ili ndio wawe makondoo wakati karibu dunia kote hiyo imani ipo?Nyie jamaa wapuuzi sana, hao wazungu waliowaletea hao miungu mnaowaabudu, biblia na huo uchafu mwingine wanachanja! Nyie mlioletewa hivyo vitu ili muwe makondoo wawatawale vizuri hamtaki kuchanja, kwa hakika itatuchukua muda mrefu waafrika kufunguka bongo zetu
Wape faida lockdown ilikuwa kwa ajiri ya nini ili aweze kuona mwenyewe ni vp imesaidia.Lockdown imewashinda kivpi wakati wameshachanja ndio wakapunguza restrictions?? Au ulidhani lockdown ni permanent solution??
China kuna 1.4 bil people hawaamini huyo mungu wa Israel, India 1.3 bil hawaamini pia, duniani kote wapi huko?Kwanini unafikiri wameletewa afrika ili ndio wawe makondoo wakati karibu dunia kote hiyo imani ipo?
Hata kama ni kwa uchache ila hiyo imani ipo huko na hadi Arabuni hiyo imani ipo ila hawana mitazamo kama uliyokuwa nayo wewe mkuu.China kuna 1.4 bil people hawaamini huyo mungu wa Israel, India 1.3 bil hawaamini pia, duniani kote wapi huko?
Ndiyo maana tuna uhuru wa kuabudu, kwa upande wangu siamini kabisa hayo makitu mkuuHata kama ni kwa uchache ila hiyo imani ipo huko na hadi Arabuni hiyo imani ipo ila hawana mitazamo kama uliyokuwa nayo wewe mkuu.
Wewe kutokuamini isiwe sababu ya fikra za kwamba hiyo imani imeletwa afrika ili kuwafanya waafrika kuwa makondoo kana hiyo imani imeletwa afrika tu.Ndiyo maana tuna uhuru wa kuabudu, kwa upande wangu siamini kabisa hayo makitu mkuu
Methods 3 zilizotumika kuwatawala Afrika mojawapo ni dini, History ya Primary school hiyo, walihakikisha wanamezesha watu ukondoo ili wawatawale vizuri. Wengine hadi leo hii ni makondoo wa vibwetere waoWewe kutokuamini isiwe sababu ya fikra za kwamba hiyo imani imeletwa afrika ili kuwafanya waafrika kuwa makondoo kana hiyo imani imeletwa afrika tu.
Unaweza kutumia chochote kufanya lolote hiyo haina maana hicho unachokitumia kufanikisha mambo yako ndio tatizo,ukilijua hilo hiyo hoja yako inakuwa haina mashiko.Methods 3 zilizotumika kuwatawala Afrika mojawapo ni dini, History ya Primary school hiyo, walihakikisha wanamezesha watu ukondoo ili wawatawale vizuri. Wengine hadi leo hii ni makondoo wa vibwetere wao
Hiyo imani ya huyo Muisrael inasema watu wote wasiomuamini yeye wanaenda kwenye moto, approximately kwa population ya sasa ni more than 5bil wataenda huko!!! Do you believe this kind of shite?Unaweza kutumia chochote kufanya lolote hiyo haina maana hicho unachokitumia kufanikisha mambo yako ndio tatizo,ukilijua hilo hiyo hoja yako inakuwa haina mashiko.
Msingi wa swali lako au hoja yako ni nini? kwa sababu siku zote kitu usichoamini ni rahisi kukiona ni cha kijinga, hata wewe unaweza ukawa unaamini kitu ila mwengine akaona ni ujinga tu hata akilini haiingii.Hiyo imani ya huyo Muisrael inasema watu wote wasiomuamini yeye wanaenda kwenye moto, approximately kwa population ya sasa ni more than 5bil wataenda huko!!! Do you believe this kind of shite?
Sawa mkuu, tuachane na hii kitu, ni topic pana na controversial sana. Andaa bega hilo udungwe Jensen...Msingi wa swali lako au hoja yako ni nini? kwa sababu siku zote kitu usichoamini ni rahisi kukiona ni cha kijinga, hata wewe unaweza ukawa unaamini kitu ila mwengine akaona ni ujinga tu hata akilini haiingii.
Kwanini unadhani kuna hitaji ithibati kumuita mtu chimpanzee?Nipe kwanza ithibati ya kumuita Binaadam mwenzio “Chimpanzee “!
Tuendelee baada ya hapo. .....Ahsante !
Kwahiyo wewe unaishi sababu ni mjinga ?jamaa usitukane waliokufa ... Huo unaouita ujinga ndo unatufanya kuishi hata leo, acha kutukana nduguzo kisa wadhungu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo mtajua hamjui
Unaelewa maana ya Zamani??Umekariri,hata tukikwambia kifo ni asili yako utapinga.sababu unaishi ndani ya box.
Katiba ipo,ama huna taarifa??
Nani kazuia chanjo??magufuli aliishawahi kuzuia chanjo??
Una taarifa kwamba mpaka sasa kila nchi ina vigezo vyake na aina yake ya chanjo,au hakuna kitu unaelewa??
Chanjo imeanza kutolewa mwaka gani mkuu???naona ni kama hata huelewi unachoandika.
Labda uthibitishe kwamba kila mtu alikufa kwa corona,otherways hakuna uhalali wa madai hayo.
Unauhakika gani kama io ni chanjo ya kweli.?Kila mtu atakufa...
Ila kuwa msomi na bado ukaikata njia iliyoonekana ni muhimu kujikinga na kuokoa maisha huo ndio upumbavu .
Ni sawa na wewe uone sehemu inawaka moto na wewe useme ngoja nitumie petrol kuuzima na sio maji au vitu vingine vya kuzimia moto..
Tulipewa akili tuzitumie ila kuna watu walikufa kwa kuendekeza ujinga
io pepopunda imechanja dunia nzima au sulua kwanini corona iwe dunia nzima tena kwakubembelezwa yani mtu uko fit unalazimishwa uwekwe chanjo kwanini..?Sasa hayo machanjo ya Pepopunda na Polio yaliopo kwenye Hospitali zetu ni Chapa ya Mnyama gani?
Hivi unajua maana ya Chanjo? au unafikiri tunaongelea DAWA?mtu uko fit unalazimishwa uwekwe chanjo kwanini..
Hizo chanjo si fashion hivyo ni suala la kuwa na sababu na uamuzi wa kuchanjwa.Sawa mkuu, tuachane na hii kitu, ni topic pana na controversial sana. Andaa bega hilo udungwe Jensen...