Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

Huo ni msemo tu.

Wavaa hijab wa Ufaransa ni wafaransa. kumbuka hilo.
Ufaransa ni nchi ambayo haina dini
Unapokuwa kwenye nchi yoyote ile ina sheria zake kwahiyo fuata sheria.
Zanzibar pale kipindi cha Ramadhani, haurusiwi kula hadharani, migahawa au wauza maandazi hawaruhusiwi kuuza.
Sheria za Zanzibar, mimi siyo muislamu ila kutokana na sheria za Zanzibar inabidi nifuate.
Hivyo hivyo waislamu, inabidi wafuate sheria za France.
Ile ni nchi huru na ina misingi yake kwahiyo fuata sheria.
 
Kwanza we mweka mada weka hata picha ya mwanafunzi na hilo vazi. Hivi ni vazi gani tena baibui au?
 
Waislam watulie kwenye nchi zao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu wanataka kila nchi ifuate sheria za Dini yao.
Zikiwekwa hizo sheria wanaikimbia hiyo nchi.
Ni watu wa ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…