Serikali WAKIAMUA WAKATWE NYWELE, basi ni sahihi Kibiblia mi sina shida nao, WAKIAMUA waachie nywele, ni maamuzi Yao maana Maandiko yanasema Shetani ndo mkuu wa mfumo wote wa Ulimwengu huu, so sio shida zangu.Weka hizo aya za biblia bila kuongezea maneno yako.
Na wataoipinga ni Wafaransa Waislam na wapenda maadili. Usifikiri wafaransa wote wanapendezewa na ujinga wa serikali yao.
I think Muslims are minority pale Ufaransa, so nafikiri Wafaransa asilimia kubwa watakubali kwasababu ya tishio la Kigaidi kutoka kwa IS. Kama isingekuwa IS wanaotumia jina la "Mwenyezi Mungu" basi wasingeweka sheria hiyo, wanaihusisha Uislamu na Ugaidi. Nadhani wameangalia Kwa kigezo cha Usalama na kuogopa kwa Islamic radicalism inayoanza kuenea miongoni wa Islamic communities.