Kweli inawezekana mnamjua Yesu wa tofauti na Biblia , hapo nakubaliana na wewe.Wewe unasema maneno ya uongo hakuna Muislam asiye mjuwa Bwana Yesu. Acha kuropoka maneno ya uongo hakuna hata Muislam mmoja asiye mjuwa bwana yesu. Wakristo hawamtambuwaMtume wa waislam Mtume Muhamma hapo ungelisema ningekuunga mkono lakini wewe unasema Bwana Yesu hawamatmbuwa Waislam maneno yako ni maneno ya uongo kajipange tena utafute kusema maneno ya uongo dhidi ya Waislam.
Maana wanaoitwa majina ya Yesu wako wengi mno.