Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

Kila nchi ina sheria zake. Wakiona wamebanwa sana, kuna nchi za kiiislamu wakaishi huko.
Mbona zanzibar wanachapa viboko watu kipindi cha ramadhani?
Pemba pale waislamu waliandamana wasijenge kanisa.
Mnapenda sana kuonewa huruma.
Uko sahihi.
 
Ni tofauti na ulaya inavyojinasibu hasa ufaransa ambako ruksa kutembea uchi wa nyama,unamruhusu mtu kutembea uchi wamnyama unamkataza aliyevaa nguo,unaogopa nini!?
 
TAARIFA KWANINI WAISLAMU HAWAMTAKI YESU.

Nilikuwa naambiwa na Rafiki yangu mmoja ni Muhubiri wa kikisto.kabla ya HAPO ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI NA MEMBER WA BALAZA LA ULAMAA.

Hivi sasa Ameokoka Anamtumikia Mungu na ana KANISA KUBWA SANA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM.

Anasema akiwa kwenye Balaza la Ulamaa walikuwa wakipigwa Marufiku ndani ya Msikiti KULITAJA, KULITAMKA NA KULISEMA JINA LA YESU

LENGO la kukataa jina la Yesu ni kwamba Likitajwa kina la YESU MAPEPO,MAJINI NA MASHETANI YANAKIMBIA NDANI YA MSIKITI.

Hivyo basi akaamua kumfuata Yesu.

JINA LA BWANA YESU LIHIMIDIWE.
 
Uislamu hauzuiliwi kwa njia hii jamani.
Haya mambo wangefanya waislamu Dunia nzima muda huu wangekuwa wanabweka.
Wazungu wanaogopa sana watu kubainikiwa na haki na uongofu,, wanaajenda gani na Shetani.

Kwanini Dini nyingine haziwekewi vikwazo kiasi hiki??View attachment 2741376
Dini ya Kiislam inaogopewa na nchi nyingi duniani kwa sababu ndio dini ya ukweli na ya haki. Dini nyingine zizlizo bakia ni Makampuni ya Wazungu.
 
Ulaya kote kuna misikiti, na watu wanaruhusiwa kuhubiri dini zao, lakini Saudi Arabia huruhusiwi kuhubiri Ukristo au dini nyingine yoyote publicly.

Sasa hapo nani anazuia dini ya mwenzake?
Hawa watu ni ajabu sana.

Saudi Arabia kule kusema habari za Ukristo waziwazi ni kosa ila hapo Ufaransa azana inapigwa wanaswali bila kificho.

Alafu Ufaransa Ina sovereignty yake, waache waamue mambo Yao wenyewe. Kila kitu udini.
 
Naapa mbele ya mnyazi Mungu, ndani ya hii miaka 200 Uislam utatawala Dunia nzima. Amin
Apa tu. Ila sahau kitu kama hicho.
Shida yenu huwa mnajifanya nyie ndiyo mna haki sana kuliko imani nyingine ndiyo maana china haitaki hata kuwasikia.
Mchina anakula zake nyoka, unamwambia kafiri halafu mnataka nyie ndiyo mchinje.
Uislamu una miaka mingapi mpk sasa? Lkn idadi kubwa ya watu siyo waislamu ndiyo ujue hiyo dini ina safari ndefu sana.
Huko Uarabuni wangeruhusu ukristo, waarabu wengi sana wangeachana na uislamu ila wanaogopa.
Ukiacha uislamu, adhabu yako ni kifo (unakatwa kichwa). Hapo ndipo waarabu wanaogopa
 
Hakuna muislam anayetamani kuacha uislam na kuwa Kafiri. Hakuna. Never
 
Apa tu. Ila sahau kitu kama hicho.
Shida yenu huwa mnajifanya nyie ndiyo mna haki sana kuliko imani nyingine ndiyo maana china haitaki hata kuwasikia.
Mchina anakula zake nyoka, unamwambia kafiri halafu mnataka nyie ndiyo mchinje.
Uislamu una miaka mingapi mpk sasa? Lkn idadi kubwa ya watu siyo waislamu ndiyo ujue hiyo dini ina safari ndefu sana.
Huko Uarabuni wangeruhusu ukristo, waarabu wengi sana wangeachana na uislamu ila wanaogopa.
Ukiacha uislamu, adhabu yako ni kifo (unakatwa kichwa). Hapo ndipo waarabu wanaogopa
Huu ni ukweli mchungu.
Ukristo ungeruhusiwa Uarabuni na Uturuki, tungekuwa tunaongea mengine.

Wanasema Ufaransa anaogopa , mbona Saudi Arabia inauogopa Ukristo kama ukoma tena kuliko Ufaransa inavoogopa Uislamu?
 
TAARIFA KWANINI WAISLAMU HAWAMTAKI YESU.

Nilikuwa naambiwa na Rafiki yangu mmoja ni Muhubiri wa kikisto.kabla ya HAPO ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI NA MEMBER WA BALAZA LA ULAMAA.

Hivi sasa Ameokoka Anamtumikia Mungu na ana KANISA KUBWA SANA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM.

Anasema akiwa kwenye Balaza la Ulamaa walikuwa wakipigwa Marufiku ndani ya Msikiti KULITAJA, KULITAMKA NA KULISEMA JINA LA YESU

LENGO la kukataa jina la Yesu ni kwamba Likitajwa kina la YESU MAPEPO,MAJINI NA MASHETANI YANAKIMBIA NDANI YA MSIKITI.

Hivyo basi akaamua kumfuata Yesu.

JINA LA BWANA YESU LIHIMIDIWE.
Wewe unasema maneno ya uongo hakuna Muislam asiye mjuwa Bwana Yesu. Acha kuropoka maneno ya uongo hakuna hata Muislam mmoja asiye mjuwa bwana yesu. Wakristo hawamtambuwaMtume wa waislam Mtume Muhamma hapo ungelisema ningekuunga mkono lakini wewe unasema Bwana Yesu hawamatmbuwa Waislam maneno yako ni maneno ya uongo kajipange tena utafute kusema maneno ya uongo dhidi ya Waislam.
 
Ulaya kote kuna misikiti, na watu wanaruhusiwa kuhubiri dini zao, lakini Saudi Arabia huruhusiwi kuhubiri Ukristo au dini nyingine yoyote publicly.

Sasa hapo nani anazuia dini ya mwenzake?
Chini hapo jionee uchafu wa Ufaransa...kashfa mbaya zaidi ya karne ya ishirini na moja!!! Tukio la kinyama na la kushangaza la wanaume wawili na mwanamke wakimkojolea mtoto wa Kiafrika katika moja ya vijiji vya Ufaransa, na mtoto huyo kabisa. wamevuliwa nguo, wamelala kifudifudi chini, huku idadi ya Wafaransa, ambao... Maadamu nchi yao imeushangaza ulimwengu kwa ustaarabu wa hali ya juu, wamekuwa wakitazama kitendo hiki kichafu, kichafu na kisicho cha kawaida. dalili yoyote ya kuingiliwa na yeyote kati yao!!!Hii ilitokea baada ya serikali ya Mali kumfukuza balozi wa Ufaransa, huku Wafaransa wakimkamata raia wa Mali katika kijiji cha Ufaransa na kumkojolea hadharani.
Afrika lazima iamke na Waarabu na Waislamu waamke waone sura ya kweli, mbaya ya Ufaransa.
Tunajutia ubaya na utisho wa eneo la tukio, lakini watetezi wa haki za binadamu wako wapi katika hili??

Majamaa yako inferior complex yakiwango chakuogofya wakiwa wao ni majority hawaheshimu watu wengine kabisa wakiwa wao ni minority yanaanza kuplay victim kiboko yao wachina na wahindu na ile miamba ya kwa dalai lama hutowasikia wakilalamikia uchina au India ni wao na ulaya na ulaya na wao
 
Back
Top Bottom