antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Huu unafiki sasa.Umefananisha nchi yenye sheria yake na dola yake,,, na nchi yenye michanganyiko ya watu mkuu (mbingu na ardhi)
Kwa hiyo waarabu kuzuia na kubagua dini za wengine ni sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu unafiki sasa.Umefananisha nchi yenye sheria yake na dola yake,,, na nchi yenye michanganyiko ya watu mkuu (mbingu na ardhi)
Dini pekee ya kufaa kufwatwa duniani ni IslamKwanza kwanini Saudi Arabia wanaouzuia Ukristo usifanyike waziwazi usisemwe alafu Ufaransa ambapo misikiti ipo na mnaswali bila shida yoyote mnaanza kuikashifu? Huoni kuwa huo ni unafiki.
Yesu aliwahi sema " toa kiboriti kwenye jicho lako kwanza ".
Hahah huwezi, unatupiga fiksi tu... Mwenyew unajua Hilo na unaogopa.Kesho nitalichoma Hilo likitabu la majini
Jibu hoja kwa nini mliandamana kupinga ujenzi wa kanisa huko pemba.France imejiumbua Kama taifa huru,linalolinda uhuru wa kuabudu,maoni na kuvaa,wanakataza hijab Ila wanaruhusu graduation kuvaa hizo hijab/joho kwa graduates
Jibu swali kwanza.Dini pekee ya kufaa kufwatwa duniani ni Islam
Kutembea uchi ni utamaduni wao Wafaransa ndiyo maana hawana shida nao. Kuvaa abaya ni "alien" kwao ndiyo maana hawataki.Ni tofauti na ulaya inavyojinasibu hasa ufaransa ambako ruksa kutembea uchi wa nyama,unamruhusu mtu kutembea uchi wamnyama unamkataza aliyevaa nguo,unaogopa nini!?
Kwani saudia anaizuia dini ya haki?Jibu swali kwanza.
Kwanini mnakuwa mna unafiki?
Yaani Saudia hasemwi alafu Ufaransa anasemwa?
Anazuia Ukristo.Kwani saudia anaizuia dini ya haki?
Historia ya Uislam Ufaransa ni ndefu sana, kuliko unavyofikiria. Kuna historia ipi ya Ukristo Saudi Arabia?Waache Ufaransa.
Kule Kuna misikiti, mnaswali vizuri bila taabu, kitabu tukufu cha Qur'an kinauzwa. Mnaipractice Uislamu publicly
Saudi Arabia, kule Ukristo ni marufuku kuipractice publicly , Biblia haisomwi Kwa uwazi alafu mnaanza kuleta za kuleta?
Heshimu sovereignty ya nchi kama ya Saudi Arabia inavoheshimiwa.
ukristo ni Ukafiri, na ukafiri ni WA kupiñgwa kokote duniani sio Saudia tuAnazuia Ukristo.
Alafu Ufaransa hazui Uislamu Leo hii kaleta sheria zake mnaleta za kuleta, kama hamtaki nendeni Saudi Arabia huko.
We ni bogus na una upungufu wa akili, low level of IQ .Historia ya Uislam Ufaransa ni ndefu sana, kuliko unavyofikiria. Kuna historia ipi ya Ukristo Saudi Arabia?
Halafu hiyo "argument" yako ni bogus kabisa, kwa sababu kuna nchi ambazo misikiti hairuhusiwi ndani ya Ulaya, kuna muislam aliwahi kuuliza kwanini hawaruhusu Misikiti? Ni ujinga tu tukianza kuuliza hayo. Kama hawataki misikiti nna wewe lazima usali msikitini, usiende. Ukienda sa;i nyumbani, kwani sala yako inamsaidia nini yule kwenye nchi yake?
Huo ni ujinga wa kuuliza kwanini Saudi Arabia hawaruhusu kanisa, ndiyo hawaruhusu, kwani lazima uende Saudi Arabi ukasali kanisani? Mbona kuna Wakristo wengi wanafanya kazi huko wanasali majumbani kwao.
Utakuta mtu kama wewe hata hapa kwenyye makanisa huendi kanisani. Mwenye imani ya kwenda kanisani, hwezi kuongea kijinga namna hiyo.
Mimi Muislam lakini sijawahi kuuliza kwanini nchi fulani hakuruhusiwi msikiti? Hawaruhusu ndiyo hawaruhusu kwani ni lazima nilalamikie sheria zao? Ntakuwa mjinga mimi na Uislam wangu.
Lakini huwezi kumwambia mtu hapa hutakiwi kujistiri. Unatakiwa ukae nusu uchi, bila kuwa na dini. Kwani Ukristo uliruhusu wapi wanawake wakae nusu uchi? Tuwache ujinga.
Hiyo Ulaya unayoiona leo hao wanaopigia kelelena kuamrisha watu kuvaa nusu uchi hawana Ukristo hata kidogo. Hao ni askari wa shetani.
Basi nendeni Saudia mwacheni Ufaransa na sovereignty yakeukristo ni Ukafiri, na ukafiri ni WA kupiñgwa kokote duniani sio Saudia tu
Kwani wafaransa sio binadamu? Binadamu wote wanapaswa kuwa waislamBasi nendeni Saudia mwacheni Ufaransa na sovereignty yake
Mjinga kabisa wewe nani kakuambia kwenda kanisani pekee ndo utaenda kumuona Mtakatifu wa Yakobo?Historia ya Uislam Ufaransa ni ndefu sana, kuliko unavyofikiria. Kuna historia ipi ya Ukristo Saudi Arabia?
Halafu hiyo "argument" yako ni bogus kabisa, kwa sababu kuna nchi ambazo misikiti hairuhusiwi ndani ya Ulaya, kuna muislam aliwahi kuuliza kwanini hawaruhusu Misikiti? Ni ujinga tu tukianza kuuliza hayo. Kama hawataki misikiti nna wewe lazima usali msikitini, usiende. Ukienda sa;i nyumbani, kwani sala yako inamsaidia nini yule kwenye nchi yake?
Huo ni ujinga wa kuuliza kwanini Saudi Arabia hawaruhusu kanisa, ndiyo hawaruhusu, kwani lazima uende Saudi Arabi ukasali kanisani? Mbona kuna Wakristo wengi wanafanya kazi huko wanasali majumbani kwao.
Utakuta mtu kama wewe hata hapa kwenyye makanisa huendi kanisani. Mwenye imani ya kwenda kanisani, hwezi kuongea kijinga namna hiyo.
Mimi Muislam lakini sijawahi kuuliza kwanini nchi fulani hakuruhusiwi msikiti? Hawaruhusu ndiyo hawaruhusu kwani ni lazima nilalamikie sheria zao? Ntakuwa mjinga mimi na Uislam wangu.
Lakini huwezi kumwambia mtu hapa hutakiwi kujistiri. Unatakiwa ukae nusu uchi, bila kuwa na dini. Kwani Ukristo uliruhusu wapi wanawake wakae nusu uchi? Tuwache ujinga.
Hiyo Ulaya unayoiona leo hao wanaopigia kelelena kuamrisha watu kuvaa nusu uchi hawana Ukristo hata kidogo. Hao ni askari wa shetani.
Jinga kabisa hii ni misikiti au mapango?Historia ya Uislam Ufaransa ni ndefu sana, kuliko unavyofikiria. Kuna historia ipi ya Ukristo Saudi Arabia?
Halafu hiyo "argument" yako ni bogus kabisa, kwa sababu kuna nchi ambazo misikiti hairuhusiwi ndani ya Ulaya, kuna muislam aliwahi kuuliza kwanini hawaruhusu Misikiti? Ni ujinga tu tukianza kuuliza hayo. Kama hawataki misikiti nna wewe lazima usali msikitini, usiende. Ukienda sa;i nyumbani, kwani sala yako inamsaidia nini yule kwenye nchi yake?
Huo ni ujinga wa kuuliza kwanini Saudi Arabia hawaruhusu kanisa, ndiyo hawaruhusu, kwani lazima uende Saudi Arabi ukasali kanisani? Mbona kuna Wakristo wengi wanafanya kazi huko wanasali majumbani kwao.
Utakuta mtu kama wewe hata hapa kwenyye makanisa huendi kanisani. Mwenye imani ya kwenda kanisani, hwezi kuongea kijinga namna hiyo.
Mimi Muislam lakini sijawahi kuuliza kwanini nchi fulani hakuruhusiwi msikiti? Hawaruhusu ndiyo hawaruhusu kwani ni lazima nilalamikie sheria zao? Ntakuwa mjinga mimi na Uislam wangu.
Lakini huwezi kumwambia mtu hapa hutakiwi kujistiri. Unatakiwa ukae nusu uchi, bila kuwa na dini. Kwani Ukristo uliruhusu wapi wanawake wakae nusu uchi? Tuwache ujinga.
Hiyo Ulaya unayoiona leo hao wanaopigia kelelena kuamrisha watu kuvaa nusu uchi hawana Ukristo hata kidogo. Hao ni askari wa shetani.
Wewe badala ya kujibu hoja uanaleta viroja.Mjinga kabisa wewe nani kakuambia kwenda kanisani pekee ndo utaenda kumuona Mtakatifu wa Yakobo?
IMEANDIKWA:
Waebrania 12:14
[14]Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;
Follow peace with all men, and holiness, without which no man shall see the Lord:
Hayo ni maamuzi ya Ufaransa, .msilete hoja za kimaandiko. Biblia inasema ni eidha afunike kichwa au akatwe nywele zake ila kwakuwa kukatwa nywele zake kutaleta physical impression mbaya kwa mwanamke, ni heri afunikwe kichwa, ila akikatwa nywele zake hajafunikwa kichwa sawa.Wewe badala ya kujibu hoja uanaleta viroja.
Wapi biblia ilikufundisha ukae nusu uchi? Licha ya hijab kwa mwanamke, hata mwanamme biblia inamtaka avae kofia.
Bisha.
Kwamba abaya kiingereza chake ni abaya.
Nimejua sasa hivi.
Hoja ni "Hutakiwi kuitambua dini kwa mavazi" nafikiri na rozali hazivaliwi shule zote za serikali ama sivyo?
Weka hizo aya za biblia bila kuongezea maneno yako.Hayo ni maamuzi ya Ufaransa, .msilete hoja za kimaandiko. Biblia inasema ni eidha afunike kichwa au akatwe nywele zake ila kwakuwa kukatwa nywele zake kutaleta physical impression mbaya kwa mwanamke, ni heri afunikwe kichwa, ila akikatwa nywele zake hajafunikwa kichwa sawa.
1 Wakorintho 11:6,18
[6]Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.
For if the woman be not covered, let her also be shorn: but if it be a shame for a woman to be shorn or shaven, let her be covered.
[18]Kwa maana kwanza mkutanikapo kanisani nasikia kuna faraka kwenu; nami nusu nasadiki;
For first of all, when ye come together in the church, I hear that there be divisions among you; and I partly believe it.
SO WAKIAMUA WAKATWE NYWELE ZAO ILI WASIFUNIKWE KICHWA NI SAHIHI KIMAANDIKO KAMA ANAVOSEMA MTUME PAULO. TATIZO MNASOMA JUUJUU MNAKUWA NA UJINGA MWINGI KICHWANI.