Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

Kwanza kwanini Saudi Arabia wanaouzuia Ukristo usifanyike waziwazi usisemwe alafu Ufaransa ambapo misikiti ipo na mnaswali bila shida yoyote mnaanza kuikashifu? Huoni kuwa huo ni unafiki.

Yesu aliwahi sema " toa kiboriti kwenye jicho lako kwanza ".
Dini pekee ya kufaa kufwatwa duniani ni Islam
 
Kesho nitalichoma Hilo likitabu la majini
Hahah huwezi, unatupiga fiksi tu... Mwenyew unajua Hilo na unaogopa.

Maana unajua ukifanya hivo hautakuwa na mda mrefu, utakuwa umekana maisha Yako na Mungu atakuadhibu vilivo,
 
France imejiumbua Kama taifa huru,linalolinda uhuru wa kuabudu,maoni na kuvaa,wanakataza hijab Ila wanaruhusu graduation kuvaa hizo hijab/joho kwa graduates
Jibu hoja kwa nini mliandamana kupinga ujenzi wa kanisa huko pemba.

Ubinafsi ndiyo jadi yenu hakuna asiyewajua. Wacha mnyoloshwe huko France
 
Itakuwa ni kwasababu za kiusalama nafikiri maana kwenye hizo nguo magaidi Pia hujifichia humo
 
Ni tofauti na ulaya inavyojinasibu hasa ufaransa ambako ruksa kutembea uchi wa nyama,unamruhusu mtu kutembea uchi wamnyama unamkataza aliyevaa nguo,unaogopa nini!?
Kutembea uchi ni utamaduni wao Wafaransa ndiyo maana hawana shida nao. Kuvaa abaya ni "alien" kwao ndiyo maana hawataki.

Kuna zaidi ya 50 majority Muslim countries, kwa nini wasiende huko wakafungiwe ndani kabisa ila hata wasisumbuke kuvaa abaya? Wataleban wameonesha mfano mzuri hao wavaa abaya waende Kabul wataishi kwa kufuata amri za Allah kwa 100%. Kujichanganya na walakitimoto huko Ufaransa ni kujitafutia dhambi za bure.
 
Waache Ufaransa.
Kule Kuna misikiti, mnaswali vizuri bila taabu, kitabu tukufu cha Qur'an kinauzwa. Mnaipractice Uislamu publicly

Saudi Arabia, kule Ukristo ni marufuku kuipractice publicly , Biblia haisomwi Kwa uwazi alafu mnaanza kuleta za kuleta?

Heshimu sovereignty ya nchi kama ya Saudi Arabia inavoheshimiwa.
Historia ya Uislam Ufaransa ni ndefu sana, kuliko unavyofikiria. Kuna historia ipi ya Ukristo Saudi Arabia?

Halafu hiyo "argument" yako ni bogus kabisa, kwa sababu kuna nchi ambazo misikiti hairuhusiwi ndani ya Ulaya, kuna muislam aliwahi kuuliza kwanini hawaruhusu Misikiti? Ni ujinga tu tukianza kuuliza hayo. Kama hawataki misikiti nna wewe lazima usali msikitini, usiende. Ukienda sa;i nyumbani, kwani sala yako inamsaidia nini yule kwenye nchi yake?

Huo ni ujinga wa kuuliza kwanini Saudi Arabia hawaruhusu kanisa, ndiyo hawaruhusu, kwani lazima uende Saudi Arabi ukasali kanisani? Mbona kuna Wakristo wengi wanafanya kazi huko wanasali majumbani kwao.

Utakuta mtu kama wewe hata hapa kwenyye makanisa huendi kanisani. Mwenye imani ya kwenda kanisani, hwezi kuongea kijinga namna hiyo.

Mimi Muislam lakini sijawahi kuuliza kwanini nchi fulani hakuruhusiwi msikiti? Hawaruhusu ndiyo hawaruhusu kwani ni lazima nilalamikie sheria zao? Ntakuwa mjinga mimi na Uislam wangu.

Lakini huwezi kumwambia mtu hapa hutakiwi kujistiri. Unatakiwa ukae nusu uchi, bila kuwa na dini. Kwani Ukristo uliruhusu wapi wanawake wakae nusu uchi? Tuwache ujinga.

Hiyo Ulaya unayoiona leo hao wanaopigia kelelena kuamrisha watu kuvaa nusu uchi hawana Ukristo hata kidogo. Hao ni askari wa shetani.
 
We ni bogus na una upungufu wa akili, low level of IQ .
MNAFIKI KABISA.

Yaani hata mtoto wa darasa la pili anakushinda, haiwezekani Saudi Arabia inazuia Ukristo alafu Ufaransa wako very liberal, Leo wameweka sheria zao , eti sijui dini , jinga kabisa na MNAFIKI mkubwa sana.

Yaani Ufaransa Kuna misikiti, azana inalia publicly alafu kule Saudia hata wimbo wa Zaburi auimbwi alafu unakuja kuleta za kuleta Kwa hoja zako za kijinga zisizokuwa na kichwa wala miguu?
 
Historia ya Uislam Ufaransa ni ndefu sana, kuliko unavyofikiria. Kuna historia ipi ya Ukristo Saudi Arabia?

Halafu hiyo "argument" yako ni bogus kabisa, kwa sababu kuna nchi ambazo misikiti hairuhusiwi ndani ya Ulaya, kuna muislam aliwahi kuuliza kwanini hawaruhusu Misikiti? Ni ujinga tu tukianza kuuliza hayo. Kama hawataki misikiti nna wewe lazima usali msikitini, usiende. Ukienda sa;i nyumbani, kwani sala yako inamsaidia nini yule kwenye nchi yake?

Huo ni ujinga wa kuuliza kwanini Saudi Arabia hawaruhusu kanisa, ndiyo hawaruhusu, kwani lazima uende Saudi Arabi ukasali kanisani? Mbona kuna Wakristo wengi wanafanya kazi huko wanasali majumbani kwao.

Utakuta mtu kama wewe hata hapa kwenyye makanisa huendi kanisani. Mwenye imani ya kwenda kanisani, hwezi kuongea kijinga namna hiyo.

Mimi Muislam lakini sijawahi kuuliza kwanini nchi fulani hakuruhusiwi msikiti? Hawaruhusu ndiyo hawaruhusu kwani ni lazima nilalamikie sheria zao? Ntakuwa mjinga mimi na Uislam wangu.

Lakini huwezi kumwambia mtu hapa hutakiwi kujistiri. Unatakiwa ukae nusu uchi, bila kuwa na dini. Kwani Ukristo uliruhusu wapi wanawake wakae nusu uchi? Tuwache ujinga.

Hiyo Ulaya unayoiona leo hao wanaopigia kelelena kuamrisha watu kuvaa nusu uchi hawana Ukristo hata kidogo. Hao ni askari wa shetani.
Mjinga kabisa wewe nani kakuambia kwenda kanisani pekee ndo utaenda kumuona Mtakatifu wa Yakobo?

IMEANDIKWA:
Waebrania 12:14
[14]Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;
Follow peace with all men, and holiness, without which no man shall see the Lord:

Bila kuishi maisha ya Utakatifu na maombi, hutakuja kumuona Mungu. Mjinga kabisa usiyejua Maandiko matakatifu na uweza wa Mungu Mtakatifu, kwanini unapenda kupotosha maneno ya Mtakatifu wa Yakobo?
 
Historia ya Uislam Ufaransa ni ndefu sana, kuliko unavyofikiria. Kuna historia ipi ya Ukristo Saudi Arabia?

Halafu hiyo "argument" yako ni bogus kabisa, kwa sababu kuna nchi ambazo misikiti hairuhusiwi ndani ya Ulaya, kuna muislam aliwahi kuuliza kwanini hawaruhusu Misikiti? Ni ujinga tu tukianza kuuliza hayo. Kama hawataki misikiti nna wewe lazima usali msikitini, usiende. Ukienda sa;i nyumbani, kwani sala yako inamsaidia nini yule kwenye nchi yake?

Huo ni ujinga wa kuuliza kwanini Saudi Arabia hawaruhusu kanisa, ndiyo hawaruhusu, kwani lazima uende Saudi Arabi ukasali kanisani? Mbona kuna Wakristo wengi wanafanya kazi huko wanasali majumbani kwao.

Utakuta mtu kama wewe hata hapa kwenyye makanisa huendi kanisani. Mwenye imani ya kwenda kanisani, hwezi kuongea kijinga namna hiyo.

Mimi Muislam lakini sijawahi kuuliza kwanini nchi fulani hakuruhusiwi msikiti? Hawaruhusu ndiyo hawaruhusu kwani ni lazima nilalamikie sheria zao? Ntakuwa mjinga mimi na Uislam wangu.

Lakini huwezi kumwambia mtu hapa hutakiwi kujistiri. Unatakiwa ukae nusu uchi, bila kuwa na dini. Kwani Ukristo uliruhusu wapi wanawake wakae nusu uchi? Tuwache ujinga.

Hiyo Ulaya unayoiona leo hao wanaopigia kelelena kuamrisha watu kuvaa nusu uchi hawana Ukristo hata kidogo. Hao ni askari wa shetani.
Jinga kabisa hii ni misikiti au mapango?
 
Attachments

  • Screenshot_20230906-234318.jpg
    Screenshot_20230906-234318.jpg
    20.7 KB · Views: 2
Mjinga kabisa wewe nani kakuambia kwenda kanisani pekee ndo utaenda kumuona Mtakatifu wa Yakobo?

IMEANDIKWA:
Waebrania 12:14
[14]Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;
Follow peace with all men, and holiness, without which no man shall see the Lord:
Wewe badala ya kujibu hoja uanaleta viroja.

Wapi biblia ilikufundisha ukae nusu uchi? Licha ya hijab kwa mwanamke, hata mwanamme biblia inamtaka avae kofia.

Bisha.
 
Hayo ni maamuzi ya Ufaransa, .msilete hoja za kimaandiko. Biblia inasema ni eidha afunike kichwa au akatwe nywele zake ila kwakuwa kukatwa nywele zake kutaleta physical impression mbaya kwa mwanamke, ni heri afunikwe kichwa, ila akikatwa nywele zake hajafunikwa kichwa sawa.

1 Wakorintho 11:6,18
[6]Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.
For if the woman be not covered, let her also be shorn: but if it be a shame for a woman to be shorn or shaven, let her be covered.
[18]Kwa maana kwanza mkutanikapo kanisani nasikia kuna faraka kwenu; nami nusu nasadiki;
For first of all, when ye come together in the church, I hear that there be divisions among you; and I partly believe it.

SO WAKIAMUA WAKATWE NYWELE ZAO ILI WASIFUNIKWE KICHWA NI SAHIHI KIMAANDIKO KAMA ANAVOSEMA MTUME PAULO. TATIZO MNASOMA JUUJUU MNAKUWA NA UJINGA MWINGI KICHWANI.
 
Kwamba abaya kiingereza chake ni abaya.

Nimejua sasa hivi.

Hoja ni "Hutakiwi kuitambua dini kwa mavazi" nafikiri na rozali hazivaliwi shule zote za serikali ama sivyo?

Ila mbona masista wanavaa nguo zao tena wakati mwingine hazina hata rangi ya uniform na wanapiga tu shule!
 
Hayo ni maamuzi ya Ufaransa, .msilete hoja za kimaandiko. Biblia inasema ni eidha afunike kichwa au akatwe nywele zake ila kwakuwa kukatwa nywele zake kutaleta physical impression mbaya kwa mwanamke, ni heri afunikwe kichwa, ila akikatwa nywele zake hajafunikwa kichwa sawa.

1 Wakorintho 11:6,18
[6]Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.
For if the woman be not covered, let her also be shorn: but if it be a shame for a woman to be shorn or shaven, let her be covered.
[18]Kwa maana kwanza mkutanikapo kanisani nasikia kuna faraka kwenu; nami nusu nasadiki;
For first of all, when ye come together in the church, I hear that there be divisions among you; and I partly believe it.

SO WAKIAMUA WAKATWE NYWELE ZAO ILI WASIFUNIKWE KICHWA NI SAHIHI KIMAANDIKO KAMA ANAVOSEMA MTUME PAULO. TATIZO MNASOMA JUUJUU MNAKUWA NA UJINGA MWINGI KICHWANI.
Weka hizo aya za biblia bila kuongezea maneno yako.

Na wataoipinga ni Wafaransa Waislam na wapenda maadili. Usifikiri wafaransa wote wanapendezewa na ujinga wa serikali yao.
 
Back
Top Bottom