Ufaransa yashangazwa kwanini virusi vya Corona haviwadhuru Waafrika

Sijaona sehemu yeyote ili wakisema kwa nini haiwadhuru waafrica.Nimeona wakisema weather siyo factor,pia niakaona wanasema Nigeria ipo well equipped.

At least ningesoma kuwa waafrica waliokuwa in contact na huyo muitaliano hawapo positive na why,labda hapo ndo ingethibitisha kuwa waafrika hawapati na kiscience hakuna ushahidi mpaka sasa uliopo kuwa waafrica hawadhuriki.
 
Siyo kila vijidudu vya maradhi vinashambulia kila race. SARS iliua wachina wengi pia na sidhani pia kama kuna mwafrika alidhurika. Likewise kwa mwafrika kufa kwa mafua ni ajabu na kweli. Hata huwezi jua pengine hii corona ilishatupitia na haikupata mtu.

Yale mafua ya ajabu November December na hata Januari, huleta kichwa kuuma, misuli kuuma, mifupa kuuma, wengine waliharisha sana, mwili kukosa nguvu na wengi walidhani malaria..... ilikuwa nini? Najiuliza tu!
 
This will bring them to their knees.

Binadamu wote ni sawa.
 
Niliwaamba huu ni ugonjwa wa watu weupe. Wale vijana wetu wote waliopo Wuhan hakuna hata mmoja anayeumwa.

Ni kama mdondo tu ambako kwao ni mafua ya ndege na yaliwaua sana BuT sisi tunakula hadi kibudu cha mdondo

Sent using Jamii Forums mobile app
hahah mafu hay na dalili hizo za ugonjwa huo tunaugua huku kila leo tunakunywa tangawizi na malimao ukizidiwa sana una kunywa piliton au zile za chenga chenga
 
Siyo kila vijidudu vya maradhi vinashambulia kila race. SARS iliua wachina wengi pia na sidhani pia kama kuna mwafrika alidhurika. Likewise kwa mwafrika kufa kwa mafua ni ajabu na kweli. Hata huwezi jua pengine hii corona ilishatupitia na haikupata mtu.

Yale mafua ya ajabu November December na hata Januari, huleta kichwa kuuma, misuli kuuma, mifupa kuuma, wengine waliharisha sana, mwili kukosa nguvu na wengi walidhani malaria..... ilikuwa nini? Najiuliza tu!
Ile kidogo ingeniuwa nikaenda hospital wakanipima wanavyo juwa wao mwisho wa siku wakaniambia huna Maleria wala UTI huna infection yoyote kwenye dam kameze paracetamol!
Nilikuwa Nina tokwa na jashao kama maji!!+ kifua
 
Siyo kila vijidudu vya maradhi vinashambulia kila race. SARS iliua wachina wengi pia na sidhani pia kama kuna mwafrika alidhurika. Likewise kwa mwafrika kufa kwa mafua ni ajabu na kweli. Hata huwezi jua pengine hii corona ilishatupitia na haikupata mtu.

Yale mafua ya ajabu November December na hata Januari, huleta kichwa kuuma, misuli kuuma, mifupa kuuma, wengine waliharisha sana, mwili kukosa nguvu na wengi walidhani malaria..... ilikuwa nini? Najiuliza tu!
I Hali ilinipata December aisee

Nilipima wapi hamna kitu yaani kuchoka choka na mafua kibao

Nikameza vi Panadol tu vikapotea[emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom