iam_cipher
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 120
- 70
Ni wivu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hiyo JF name yako kila nikiitamka inabidi nihakiki kama zip yangu iko sawaHopping you're just kidding!!
Sio la JF hilo, nila nyumbani la uji!Ila hiyo JF name yako kila nikiitamka inabidi nihakiki kama zip yangu iko sawa
Kwangu mimi ni "kipochi manyoya" 😍 😍Why? Sio
Sio la JF hilo, nila nyumbani la uji!
Unanitusi!! Kwa kilugha gani?Kwangu mimi ni "kipochi manyoya" 😍 😍
🙈Unanitusi!! Kwa kilugha gani?
A very very important body part 🙈Why?
we vepi? kwani mafua hayasababishwi na virus? mbona tangu kale tunaambiwa mafua yanaua wazungu lakini mwafrika ndani ya siku 7 yameisha? mbona kwenye mafua hiyo mutation haijafanyika?As longer as it is a virus, we are not safe, they can undergo mutation and become more dangerous if their arguments are based on immunity. Its sounds like these whites are not happy why Africans are not more vulnerable to Corona virus! God help us on this!
What makes it that much important?A very very important body part 🙈
🤐🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃🏻♂️What makes it that much important?
ni December. Ugonjwa uligunduliwa Mwezi huo.Wamesema eti ni 'disease.'
Covid - corona virus diseaseHivi kama hii corona ni 'Covid-19', je kuna Covid-1-18? Kama ndio, zilikuwaje? Halafu Covid maana yake ni nini?
Mafua ni kirusi cha kale sana kimekuwa kikiaffect watu miaka mingi mno most of us (humans) tumedevelop some kind of immunity from it.we vepi? kwani mafua hayasababishwi na virus? mbona tangu kale tunaambiwa mafua yanaua wazungu lakini mwafrika ndani ya siku 7 yameisha? mbona kwenye mafua hiyo mutation haijafanyika?
Still here!Bado tunapaswa kusubilia tuone miezi kadhaa, either miwili au mmoja,kama africa hautasambaa basi kutakuwa na critical evidence yakuwa ugonjwa huu hautudhuru..
Na hapo ndipo itakuwa pona pona yetu
Sent using Iphone 11 pro
Your also still here!Still here!