mujunwa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 425
- 555
Co - CoronaHivi kama hii corona ni 'Covid-19', je kuna Covid-1-18? Kama ndio, zilikuwaje? Halafu Covid maana yake ni nini?
Vi - Virus
D - Disease
19 - 2019
Kwahiyo COVID - 19 ni jina la ugonjwa unaotokana na kirusi cha Corona ambalo limetungwa na shirika la Afya ulimwenguni ( WHO ) .
Sent using Jamii Forums mobile app