Silasy
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 872
- 1,210
Hili nalo neno ,sikumbuki km kulipatikana explanations kutoka kwa wataalamu ukute ilikuwa hii CARINA ila kutokana na Race yetu hazikuwa that much serious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kila vijidudu vya maradhi vinashambulia kila race. SARS iliua wachina wengi pia na sidhani pia kama kuna mwafrika alidhurika. Likewise kwa mwafrika kufa kwa mafua ni ajabu na kweli. Hata huwezi jua pengine hii corona ilishatupitia na haikupata mtu.
Yale mafua ya ajabu November December na hata Januari, huleta kichwa kuuma, misuli kuuma, mifupa kuuma, wengine waliharisha sana, mwili kukosa nguvu na wengi walidhani malaria..... ilikuwa nini? Najiuliza tu!
Sent using Jamii Forums mobile app