Ufaransa yashangazwa kwanini virusi vya Corona haviwadhuru Waafrika

Ufaransa yashangazwa kwanini virusi vya Corona haviwadhuru Waafrika

Muwage mnasamalize Bhasi! Una copy na kupaste yote hayo ya nini?
Moderator pia muwe mnasaidia kutafsiri kidogo hili siyo jukwaa la kimataifa!
Peleka google ikusaidie
 
Sisi tayari tunaumwa siku nyingi tu,wasitutaftie balaa.
Fikiria Snow idondoke Africa wakt hamna karibia kila kitu kusurvive.
Mungu yu pamoja nasi,mvua tu balaa lake si mchezo
 
Our immune system is 3 times more stronger than theirs
 
hahah mafu hay na dalili hizo za ugonjwa huo tunaugua huku kila leo tunakunywa tangawizi na malimao ukizidiwa sana una kunywa piliton au zile za chenga chenga
Jidai kula popo ndio uone kama tangawizi itamudu kitu au sijui hizo chenga chenga.
 
Mzungu tu Flu tu akifanya masikhara inamuondoa sembesu Covid19??
 
Ila mkumbuke kuna Human Immunodeficiency Virus , inatu affect.
 
Mi nadhani hii corona kwa huku kwetu ipo kitambo watu wanaugua mafua makali pamoja na homa unashindia piriton vitunguu swaumu tangawizi kwisha habari yake
Huko kwao maisha mazuri miili haina shurba sana ila kama kweli mafua tu ndio vifo vyote huku kwetu isije maana maisha yenyewe ni corona tupu pesa yenyewe hatuna daaa
 
Hivi kama hii corona ni 'Covid-19', je kuna Covid-1-18? Kama ndio, zilikuwaje? Halafu Covid maana yake ni nini?
Covid= Corona Virus Desease na pia kuna nCovid=Novel Corona Virus Desease NI HIVYO KIONGOZI
 
Back
Top Bottom