Ufaransa yashangazwa kwanini virusi vya Corona haviwadhuru Waafrika

Wanaita Covid-19...kirefu chake ni Corona Virus disease-2019...kuonesha mwaka ambao maambukizi yake yalianza.Ni jina tu
 
we vepi? kwani mafua hayasababishwi na virus? mbona tangu kale tunaambiwa mafua yanaua wazungu lakini mwafrika ndani ya siku 7 yameisha? mbona kwenye mafua hiyo mutation haijafanyika?
 
What makes it that much important?
πŸ€πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒπŸ»β€β™‚οΈ
 
Hivi kama hii corona ni 'Covid-19', je kuna Covid-1-18? Kama ndio, zilikuwaje? Halafu Covid maana yake ni nini?
Covid - corona virus disease
Hio 19 maana yake 2019 mwaka kirusi hiki kilipogunduliwa


Covid19 ni moja katika jamii ya virusi vya corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we vepi? kwani mafua hayasababishwi na virus? mbona tangu kale tunaambiwa mafua yanaua wazungu lakini mwafrika ndani ya siku 7 yameisha? mbona kwenye mafua hiyo mutation haijafanyika?
Mafua ni kirusi cha kale sana kimekuwa kikiaffect watu miaka mingi mno most of us (humans) tumedevelop some kind of immunity from it.

Inasemekana flu ilikuwepo kabla ya yesu .

Ila corona pamoja na kuwepo hakikuwa kina infect wanadamu ghafla kiasi cha kuwaua. So jamaa anachoongea ni kweli chance ya mutation ni kubwa na tayari hiki cha sasa kisha mutate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tunapaswa kusubilia tuone miezi kadhaa, either miwili au mmoja,kama africa hautasambaa basi kutakuwa na critical evidence yakuwa ugonjwa huu hautudhuru..
Na hapo ndipo itakuwa pona pona yetu


Sent using Iphone 11 pro
Still here!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…