UFISADI: Angela Kizigha, Abdluhalim Hafidh na Hamad Masauni katika kashfa nzito

UFISADI: Angela Kizigha, Abdluhalim Hafidh na Hamad Masauni katika kashfa nzito

Status
Not open for further replies.
Pale Ikulu hakuna viongozi bali makanjanja wa kimfumo.na ieleweke hivyo!
 
Ingekua Dua la kuku linampata mwewe ningeomba lile tetemeko lililoipiga Morocco lije na huku siku wakiwa kwenye kikao cha chama liwaue wote asipone hata mmoja 😡😡😡😡
 
Yalekea ni Mtu wa karibu sana na Watuhumiwa hao (mgao haukumpitia) au ana connection na wakubwa BOT. Habari hii siyo ya kupuuza.
Ni sahihi hii habari ni ya kweli kabisa. Na hii ndio JF yetu ya zamani.kwa kuwa Bi. Tuzo yupo hapa na pia vyombo vingine vya usalama vipo hata kama hazitachukuliwa hatua ila ni sehemu nzuri ya kuanzia na kujua nini kinaendelea. Dah, imeniuma sana mimi Mtanganyika mlupa kodi.
 
Uzuri ni kwamba hzo hela zote zinaingia kwenye mzunguko , fresh tuu dunia ya Mungu Sisi ni wapitaji
 
Unamaanisha nini mkuu
Social inferences imply understanding information that is inferred or not directly stated It involves observing a situation using identifying factors or clues with background knowledge of an observer to figure out what happened and what will happen, ( makisio ya kijamii)
 
Manamba tu hayo hakuna ushahidi wowote aidi ya mtu kukaa na kuanza kuchapa kwenye keyboard.

Bila kupata ushahidi wa benki husika, inabaki kuwa bila bila.
Dada jizuie kunena kwanza,maana hata kashifa za Meremeta,Dowan na zingine zote unazozijua zilianza hivihivi jukwaa hili hili na ninadhan unajua mwisho wake ulikuwa Nini katika hili Subra muhim
 
Ukija kujua jinsi DP World walivyomwaka mpunga ili wakabidhiwe bandari zetu. Moyo utakusimama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom