Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

Sizani kama iyo pesa ni nyingi kwa hadhi ya mji kama New York, pamoja na hayo hao ni watanzania wenzetu acheni wafaidi
 
Sizani kama iyo pesa ni nyingi kwa hadhi ya mji kama New York, pamoja na hayo hao ni watanzania wenzetu acheni wafaidi
Kuna wabeba box wangapi wanajua kucheza ngoma hilo dili si wangewapa diaspora tu.
 
Uzi wa chuki na wivu huu ufutwe haraka sana unajejenga chuki tu hakuna lolote "kagame anapolipa 1.5 trillion p/a huko uingereza kila mwaka huyu ungemwitaje?
 
Ila mbona siwaoni wale vijana wao . naona Kama ni walimu hao
 
Awawezi kula msosi wa $100 na kulala hotel kwa zaidi ya $250 hii haiwezekani kamwe!!
 
Msigwa alisema sio pesa ya serikali.
Kama sio ya serikali sijui ina toka wapi?
 
Hizi Post hizi ni husda tu, Upo nje kwani mlizoiba zimeisha? Matrilioni yote yale refer CAG report.
 
Msigwa alisema sio pesa ya serikali.
Kama sio ya serikali sijui ina toka wapi?
Hata ikiwa ni ya serekali ni pesa inayotumia kwa Mara moja tu,kwa TANGAZO KUBWA KABISA, N THEN TUNASUBIRI MATUNDA YA TANGAZO,KUMBUKA RAIS AMEPATA UWEKEZAJI WA TRILION 2.8 UNAOKUJA TANZANIA,ESTIMATE NDGUYO HAJAPATA AJIRA.
•Huwa nachukia baadhi ya watu kujitoa ufahamu, hasa pale unapomwona rais anajitahidi kwa dhati kuirudisha Tanzania tuliyoizoea ambayo iliwahi kuelezwa ya kwamba uharibifu wa kiuchumi uliofanya na yule jamaa ungeliigharimu Tanzania MIAKA 10,mpaka kukaa sawa,sasa mama anajaribu kufanya badala ya MIAKA 10 basi angalau itumike miwili.
 
Wewe hacha uchochezi,hapo Kuna Bilioni 7, zimetolewa na wadau Sasa unataka zitumikeje bhwana nenda kacheze Ngoma na wewe unufaike
 
Roya tour naifananisha na mvua za Lowassa za Thailand
 
Kama taarifa zako ni za kweli basi hiyo posho ni ndogo sana waliyopewa, sijui kama hata shopping watafanya.

Tukumbuke hiyo ni bei ya iPhone pro max moja tu, ila muhimu zaidi tuache roho za kimaskini, chuki bila sababu na roho za kishirikina.

Hivi mtu anatoka Marekani ashindwe hata kununuwa begi la kuburuza na kununulia vizawadi ndugu zake?

Huu ni zaidi ya ushirikina ni roho mbaya iliyofikia viwango vya mwisho kabisa hata ukimuangalia mtu kwa jicho unamdhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…