Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,122
Ohh hoh..Mimi kama Msanii wa fani kabisaa ninaona hii post imelenga kuchafua bila facts za msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohh hoh..Mimi kama Msanii wa fani kabisaa ninaona hii post imelenga kuchafua bila facts za msingi.
Hizi fikra hizi tabu tupu. Mil 3 ni kitu gani kwa ziara ya nje? Hebu tupe mchanganuo wako, ulitaka walipweje? Mbona unakuwa na roho ya kimaskini na kishirikina namna hiyo?
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
mkuu umewaza kama mimiKama ni watoto wa masikini sawa tu
Ila kama wacheza ngoma ni watoto wa mawaziri Basi tuandamane
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki [emoji1]!
They deserve it though..

Kwanini uzinduzi usingefanyikia Tanzania kwenye bunga zenyewe?
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Hayo ni malipo ya kila sikuNi pesa ndogo sana hio kwa wiki mbili wamedhulumiwa sana, God forbid , its unfair kbsa Million 3 Marekani kwa wiki mbili hela mbuzi kbsa hio.
Hii nchi inatafunwa haswajana nilimuangalia mama akihojiwa na Kikeke akasema bajeti ya filamu ni B17
Jamaa wanapiga pesaHayo ni malipo ya kila siku
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Kama ni consultant hata hizo 3 wamepigwaInawezekana kama wameenda kama consultant, na tena ni ndogo. Walipaswa iwe mil 10 kwa siku.
mkuu umewaza kama mimi