Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

Suzy Elias umepigwa sana leo na wananchi wenye akili. Hii itakuwa fundisho kwako uache kuandika threads za kizandiki.
 
Zitarudi tu kupitia safari mpya za ndege kufuata watalii, na mapato ya utalii.na huu ndio uwekezaji.
 

Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.

Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.

Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.

NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Ndo apo Sasa siku samia akiondoka wanaanzisha chama chenye falsafa za SSH na kusumbua Kama wale wa umoja party
 
Mleta mada kakate uno na wewe. Viuno wakate wengine, hela utamani wewe?
Kama wanaweza kuwalipa zaidi wawape tu.
Yaani unataka walipwe exactly sawa na gharama halisi watakayotumia. Na hiyo kazi wawe kama wanafanya bure?!
We ungekubali kufanyishwa kazi na ulipwe ugali?
 
Ni pesa ndogo sana hio kwa wiki mbili wamedhulumiwa sana, God forbid , its unfair kbsa Million 3 Marekani kwa wiki mbili hela mbuzi kbsa hio.
Huyu mleta mada haeleweki. Kwenye Heading kaandika ni 3M kwa SIKU; kwenye maelezo hajasema kama ni kwa siku. Nashindwa kuelewa which is which
 
===
FACT CHECKED: Wasanii walioambatana na Rais kwenye Royal Tour si kweli kuwa wanalipwa kiasi hicho cha fedha kilichotajwa. Jamiiforums, inatambua kuwa wasanii wamelipwa kwa kazi na sio kwa siku. Na fedha wanayolipwa haifiki kiwango cha Tsh. milioni kwa fedha za kitanzania. Taarifa zaidi kukujia.
Safi Sana JF, habari za uzushi na uongo kama za mleta mada si za kuachwa tu.
 
Milioni tatu hizo ni dola karibia 1500 kumbuka wako jiji la new york mi naona wamewaonea sana itakua wanalala vichochoroni huko na hamna hata kula bata..
Acha ujinga Newyork ukilala hotel ya usd 200 ni hoteli nzuri sana na msosi na fujo zote kwa siku ni kama usd 100 kwa hiyo kwa siku usd 300 inatosha kabisa huu ni ufisadi kwa siku USD 1500? nimeishi NYC kwa hiyo najua gharama zake
 
Back
Top Bottom