Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine

Aah




Examining imagery of abandoned Pantsir-S1 wheeled gun-missile systems, former quality auditor of US Army tactical vehicles Trent Telenko explained that the Russian military vehicles were insufficiently maintained prior to the invasion of Ukraine.

“When you leave military truck tires in one place for months on end. The side walls get rotted/brittle such that using low tire pressure setting for any appreciable distance will cause the tires to fail catastrophically via rips,” Telenko tweeted.

Read more : Poorly made Chinese tires – A new theory on Russia’s slow advance
 
Kuna war strategies nyingi, halali na haramu. Putin na Urusi kama mnavyotuaminisha ni wababe wa vita walipaswa walijue hili na kuwa na mbinu bora za kikabiliana nalo. Kuchelewa kumaliza vita mpaka leo ni dalili kuwa Putin is overrated.
Right on the money
 
ushindi?,[emoji23]kumbe unafuatilia habari za upande mmoja?
 
Lengo sio kuteka kievu ,Bali kuipiga kievu ni kulazimisha rahisi wao aondoke tuweke raisi wetu kwahiyo sio mkakati mkubwa maana yeye mwenyewe anaweza kukimbia akiona Hali inayokuja karibu yake
Muweke rais wenu wa Malinyi au wa kinampanda.Kweli Pro Russia mmepagawa
 
Alafu labda nikusaidie kitu hiyo siyo vita ni operation maalumu ya urusi ndani ya ukrein
kweli kabisa ni operation ya "urusi" ndiyo maana anadharirika,ingekuwa ni Operation ya Urusi ile tuliyokuwa tunaaminishwa kabkla ya hii vita,mbona angekuwa keshamaluza siku nyingi tu.
 
hizo ni propaganda za kimagharibi wanataka kuamsha hisia za raia wa russia waandamane kupinga ufisadi. wamagharibi wanapiganaga vita zote, za media, za kuuza silaha n.k.
 
Utadhani zile mbaula zinazotoaga makontana bandarini kupeleka kwenye ICD
 
hizo ni propaganda za kimagharibi wanataka kuamsha hisia za raia wa russia waandamane kupinga ufisadi. wamagharibi wanapiganaga vita zote, za media, za kuuza silaha n.k.
Hamna kitu inanifurahisha kama hiki kipande cha sentensi kutoka kwa Pro Russia "hizo ni propaganda za kimagharibi" ukiona hivyo tu ujue mtu hana jibu la maana kwenye hoja inayobishaniwa.
 
Maofisa na wapiganaji wa majeshi ya uvamizi Morali yao ipo chini na pia maswali juu ya uhalali wa uvamizi bila kusahau changamoto kubwa za ki - logistic , ufisadi wa mali za jeshi ni kaa la moto kwa makamanda wao wanaotaka kufikia malengo waliyoangizwa toka Moscow huku wakiwa na zana zinazoharibika kutokana na kukosa kuwekwa ktk hali nzuri, chakula kibovu, mavazi ya kukabiliana na baridi kali huku wa ardhi ikiwa imelowa maji na matope....

Hizi ni katika ripoti za utambuzi / intelligence za idara za ujasusi wa kijeshi za Ukraine na nchi za NATO zimebaini ...



U.S Sees Evidence of Morale Problems Among Russian Troops in Ukraine : Read More : https://www.usnews.com/news/world-r...s-among-russian-troops-in-ukraine?context=amp
 
hayo majimbo usemayo niswala lamuda tu yatarudi Ukraine
 
Inawezekana ikawa kweli kuna propaganda, ila leo hackers, walichoifanyia website ya tv ya taifa ya urusi ni balaa!!wameidukua na kuweka video halisi za kinachoendelea ukraine, daaa!!ambacho warusi wengi ndani ya Urusi walikuwa hawajawahi kukiona!!jinsi makombola yanavyoharibu majengo, na watu wanavyokimbia!!!
 
Kama Kuna mtu anaamini Urusi atashinda hii vita basi akapinwe akili kwa Sababu sio mzima kabisa Urusi anawezaje kushinda vita wakati amepigwa vikwazo vya kiuchumi na wakati vita inahitaji pesa kuigharamia? .
Pia Nchi za Magharibi ndizo Zina mifumo yote ya uchumi Duniani na ndizo anapigana nazo na bado NATO wanawasaidia Waukurain vipi anawezaje kushinda hii vita?
Ni swala la muda tu Urusi atachakazwa vibaya Sana .
 
Watu humu wanabisha tu Jeshi la Urusi lilikuwa kilomita tano tu karibu na mjim mkuu wa Ukraine wa Kyiv sasa hivi majeshi shupavu ya Ukraine wamewasukuma nyuma wako kilomita 25 toka mji wa Kyiv

Jeshi la Ukraine linawaua hasa na kuteka mivifaa yao ya kivita na kuitumia kutwanga Russia kwa mivifaa yao wenyewe baada ya ku I repair na kuifanyia service
 
Nimesikia sasa hivi Putin amebadili uamuzi,hataki kuiteka Kyiv tena
 
Maofisa na wapiganaji wa majeshi ya uvamizi Morali yao ipo chini na pia maswali juu ya uhalali wa uvamizi

21 March 2022

Captured Russian troops turn on Putin


Russian troops captured by Ukrainian forces have urged soldiers to denounce and rise up against Putin.

Source : News.com.au
 
Nimesikia sasa hivi Putin amebadili uamuzi,hataki kuiteka Kyiv tena
Wamemkimbizwa na majeshi ya Ukraine Urusi alikuwa kilomita tano karibu na mji mkuu Kyiv wameshavurumishwa majeshi yake kuwarudisha nyuma kilomita 25 ndiko waliko kwa sasa.Wametembezewa kipigo cha mbwa koko na Jeshi la Ukraine Ameshaona uwezekano wa kuteka haupo

Sasa hivi maduka na restaurants Kyiv yamefunguliwa
 
Mariupol ni Mji wa Bikira Maria huo Russia atapata Majibu yake toka kwa makomandoo wakatoliki toka pote duniani
Putin kampa ultimatum Zelensky eti Majeshi yake yajisalimishe huko Mariupol,Zelensky kamwambia hakuna kitu kama hicho hapa ni bampa to bampa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…