Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine

Aah

1647804451885.png

Examining imagery of abandoned Pantsir-S1 wheeled gun-missile systems, former quality auditor of US Army tactical vehicles Trent Telenko explained that the Russian military vehicles were insufficiently maintained prior to the invasion of Ukraine.

“When you leave military truck tires in one place for months on end. The side walls get rotted/brittle such that using low tire pressure setting for any appreciable distance will cause the tires to fail catastrophically via rips,” Telenko tweeted.

Read more : Poorly made Chinese tires – A new theory on Russia’s slow advance
 
Kuna war strategies nyingi, halali na haramu. Putin na Urusi kama mnavyotuaminisha ni wababe wa vita walipaswa walijue hili na kuwa na mbinu bora za kikabiliana nalo. Kuchelewa kumaliza vita mpaka leo ni dalili kuwa Putin is overrated.
Right on the money
 
Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine

Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa ikitenga mabilioni ya dola kununua vifaa vya kivita ,kutengeneza na spea Zake lakini pesa hizo zimekuwa zikiishia mifukoni mwa magenerali wa Jeshi na Putin na kwenda kuzificha nchi za Magharibi hazifanyi kazi kusudiwa

Hawanunui wala kufanyia service vifaru na magari ya kivita na ku test mara kwa mara.Matokeo yake mfano matairi ya magari ya kivita mengi ni low quality ya kutembea kilomita chache na kuharibika hawakuweka yale imara ya kutembea kilomita nyingi pasipo kuharibika

Kutokana na vifaru na magari ya kivita kutofanyiwa service na kujaribiwa mara kwa mara Jeshi la Urusi limejikuta mengi yakiwemo vifaru kuharibika ghafla njiani na magari kuharibika njiani na matajiri kupasuka hovyo .

Akaonyesha picha za baadhi ya magari yaliyopelekwa Ukraine ya kivita yale yanayobeba makombora yakiwa ni yale yaliyotumika vita ya Iraq yakiwa yametelekezwa Ukraine na wanajeshi wa Urusi baada ya kuharibika wakayaacha yakiwa na makombora yake ambayo hayajatumika kabisa na kukimbia
Hivyo kusababisha ushindi wa bure kwa Jeshi la Ukraine kwenye hayo maeneo
ushindi?,[emoji23]kumbe unafuatilia habari za upande mmoja?
 
Lengo sio kuteka kievu ,Bali kuipiga kievu ni kulazimisha rahisi wao aondoke tuweke raisi wetu kwahiyo sio mkakati mkubwa maana yeye mwenyewe anaweza kukimbia akiona Hali inayokuja karibu yake
Muweke rais wenu wa Malinyi au wa kinampanda.Kweli Pro Russia mmepagawa
 
Alafu labda nikusaidie kitu hiyo siyo vita ni operation maalumu ya urusi ndani ya ukrein
kweli kabisa ni operation ya "urusi" ndiyo maana anadharirika,ingekuwa ni Operation ya Urusi ile tuliyokuwa tunaaminishwa kabkla ya hii vita,mbona angekuwa keshamaluza siku nyingi tu.
 
Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine

Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa ikitenga mabilioni ya dola kununua vifaa vya kivita ,kutengeneza na spea Zake lakini pesa hizo zimekuwa zikiishia mifukoni mwa magenerali wa Jeshi na Putin na kwenda kuzificha nchi za Magharibi hazifanyi kazi kusudiwa

Hawanunui wala kufanyia service vifaru na magari ya kivita na ku test mara kwa mara.Matokeo yake mfano matairi ya magari ya kivita mengi ni low quality ya kutembea kilomita chache na kuharibika hawakuweka yale imara ya kutembea kilomita nyingi pasipo kuharibika

Kutokana na vifaru na magari ya kivita kutofanyiwa service na kujaribiwa mara kwa mara Jeshi la Urusi limejikuta mengi yakiwemo vifaru kuharibika ghafla njiani na magari kuharibika njiani na matajiri kupasuka hovyo .

Akaonyesha picha za baadhi ya magari yaliyopelekwa Ukraine ya kivita yale yanayobeba makombora yakiwa ni yale yaliyotumika vita ya Iraq yakiwa yametelekezwa Ukraine na wanajeshi wa Urusi baada ya kuharibika wakayaacha yakiwa na makombora yake ambayo hayajatumika kabisa na kukimbia
Hivyo kusababisha ushindi wa bure kwa Jeshi la Ukraine kwenye hayo maeneo
hizo ni propaganda za kimagharibi wanataka kuamsha hisia za raia wa russia waandamane kupinga ufisadi. wamagharibi wanapiganaga vita zote, za media, za kuuza silaha n.k.
 
Aah

View attachment 2158570

Examining imagery of abandoned Pantsir-S1 wheeled gun-missile systems, former quality auditor of US Army tactical vehicles Trent Telenko explained that the Russian military vehicles were insufficiently maintained prior to the invasion of Ukraine.

“When you leave military truck tires in one place for months on end. The side walls get rotted/brittle such that using low tire pressure setting for any appreciable distance will cause the tires to fail catastrophically via rips,” Telenko tweeted.

Read more : Poorly made Chinese tires – A new theory on Russia’s slow advance
Utadhani zile mbaula zinazotoaga makontana bandarini kupeleka kwenye ICD
 
hizo ni propaganda za kimagharibi wanataka kuamsha hisia za raia wa russia waandamane kupinga ufisadi. wamagharibi wanapiganaga vita zote, za media, za kuuza silaha n.k.
Hamna kitu inanifurahisha kama hiki kipande cha sentensi kutoka kwa Pro Russia "hizo ni propaganda za kimagharibi" ukiona hivyo tu ujue mtu hana jibu la maana kwenye hoja inayobishaniwa.
 
Maofisa na wapiganaji wa majeshi ya uvamizi Morali yao ipo chini na pia maswali juu ya uhalali wa uvamizi bila kusahau changamoto kubwa za ki - logistic , ufisadi wa mali za jeshi ni kaa la moto kwa makamanda wao wanaotaka kufikia malengo waliyoangizwa toka Moscow huku wakiwa na zana zinazoharibika kutokana na kukosa kuwekwa ktk hali nzuri, chakula kibovu, mavazi ya kukabiliana na baridi kali huku wa ardhi ikiwa imelowa maji na matope....

Hizi ni katika ripoti za utambuzi / intelligence za idara za ujasusi wa kijeshi za Ukraine na nchi za NATO zimebaini ...

1647805142181.png

U.S Sees Evidence of Morale Problems Among Russian Troops in Ukraine : Read More : https://www.usnews.com/news/world-r...s-among-russian-troops-in-ukraine?context=amp
 
Hakuna terrible yoyote hapo mission ilikua ni kuexpand territory ya urusi na imekua successful, maana donesky,lohansky, na odess tayari ipo full operated na mrusi ukiacha Crimea ndiyoo tayari ni sehemu kabisa ya urusi kwa hiyo blacksea yote IPO chini ya urusi kutokea upande wa ukrein . kwahiyo the mission is 100% successful kwa urusi hata vita ikiisha leo
hayo majimbo usemayo niswala lamuda tu yatarudi Ukraine
 
Nakupa wiki moja uje uandike tena.

Kwani operation hii imejawa na propaganda na uongo mwingi.

Pia tayari Kuna majeshi ya nchi nyingine yamo ukryein yanapigana na mrusi kimya kimya,Ila chamoto watakiona kwani Sasa itapigwa vita ya moja kwa moja badala ya kwenda kwenye ground nadhani habari ya Jana umeipata
Inawezekana ikawa kweli kuna propaganda, ila leo hackers, walichoifanyia website ya tv ya taifa ya urusi ni balaa!!wameidukua na kuweka video halisi za kinachoendelea ukraine, daaa!!ambacho warusi wengi ndani ya Urusi walikuwa hawajawahi kukiona!!jinsi makombola yanavyoharibu majengo, na watu wanavyokimbia!!!
 
Kama Kuna mtu anaamini Urusi atashinda hii vita basi akapinwe akili kwa Sababu sio mzima kabisa Urusi anawezaje kushinda vita wakati amepigwa vikwazo vya kiuchumi na wakati vita inahitaji pesa kuigharamia? .
Pia Nchi za Magharibi ndizo Zina mifumo yote ya uchumi Duniani na ndizo anapigana nazo na bado NATO wanawasaidia Waukurain vipi anawezaje kushinda hii vita?
Ni swala la muda tu Urusi atachakazwa vibaya Sana .
 
Maofisa na wapiganaji wa majeshi ya uvamizi Morali yao ipo chini na pia maswali juu ya uhalali wa uvamizi bila kusahau changamoto kubwa za ki - logistic , ufisadi wa mali za jeshi ni kaa la moto kwa makamanda wao wanaotaka kufikia malengo waliyoangizwa toka Moscow huku wakiwa na zana zinazoharibika kutokana na kukosa kuwekwa ktk hali nzuri, chakula kibovu, mavazi ya kukabiliana na baridi kali huku wa ardhi ikiwa imelowa maji na matope....

Hizi ni katika ripoti za utambuzi / intelligence za idara za ujasusi wa kijeshi za Ukraine na nchi za NATO zimebaini ...

View attachment 2158575

U.S Sees Evidence of Morale Problems Among Russian Troops in Ukraine : Read More : https://www.usnews.com/news/world-r...s-among-russian-troops-in-ukraine?context=amp
Watu humu wanabisha tu Jeshi la Urusi lilikuwa kilomita tano tu karibu na mjim mkuu wa Ukraine wa Kyiv sasa hivi majeshi shupavu ya Ukraine wamewasukuma nyuma wako kilomita 25 toka mji wa Kyiv

Jeshi la Ukraine linawaua hasa na kuteka mivifaa yao ya kivita na kuitumia kutwanga Russia kwa mivifaa yao wenyewe baada ya ku I repair na kuifanyia service
 
Nimesikia sasa hivi Putin amebadili uamuzi,hataki kuiteka Kyiv tena
 
Maofisa na wapiganaji wa majeshi ya uvamizi Morali yao ipo chini na pia maswali juu ya uhalali wa uvamizi

21 March 2022

Captured Russian troops turn on Putin

Russian troops captured by Ukrainian forces have urged soldiers to denounce and rise up against Putin.

Source : News.com.au
 
Nimesikia sasa hivi Putin amebadili uamuzi,hataki kuiteka Kyiv tena
Wamemkimbizwa na majeshi ya Ukraine Urusi alikuwa kilomita tano karibu na mji mkuu Kyiv wameshavurumishwa majeshi yake kuwarudisha nyuma kilomita 25 ndiko waliko kwa sasa.Wametembezewa kipigo cha mbwa koko na Jeshi la Ukraine Ameshaona uwezekano wa kuteka haupo

Sasa hivi maduka na restaurants Kyiv yamefunguliwa
 
Mariupol ni Mji wa Bikira Maria huo Russia atapata Majibu yake toka kwa makomandoo wakatoliki toka pote duniani
Putin kampa ultimatum Zelensky eti Majeshi yake yajisalimishe huko Mariupol,Zelensky kamwambia hakuna kitu kama hicho hapa ni bampa to bampa.
 
Back
Top Bottom