Ufisadi ndani ya CCM: Nani anahusika na ufisadi huu mpya?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Baada ya miaka kadhaa, leo nimeingia na kuwemo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba kikazi. Katika kupitiatia nyaraka za haraka zisizo na baraka, nikanusa ufisadi ndani ya chama changu pendwa. Ni ufisadi uliofanyika kupitia uhamisho wa Maktibu wa Wilaya wa CCM. Kama kada mbobevu, mwerevu na mzalendo mpingaufisadi ni vyema niibue jambo hili ili lishughulikiwe kichama haraka.

Makatibu wa Wilaya wa CCM walihamishwa vituo va kazi. Wakalipwa mamilioni ya pesa kufanikisha uhamisho wao. Huko walikohamishiwa hawakukaa hata miezi sita. Karibu wote wakahamishwa tena (wengine wakirejeshwa kwenye vituo vyao vya awali). Wakalipwa tena pesa za uhamisho kutoka chamani. Sasa wamerejea palepale walipokuwa awali wakiwa wamelamba pesa za uhamisho mara mbili.

Mfano wa haraka kwenye nyaraka nilizoziona ni Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni. Huyu alihamishiwa Wilaya mjawapo huko Katavi. Na amerejeshwa tena Kinondoni palepale na kwa cheo kile kile. Haya ni matumizi mabaya ya fedha za chama. Huu ni ufisadi. Nani hasa chamani mwetu yuko nyuma na ufisadi huu? CCM kama chama tawala tunapaswa kuwa mstari wa mbele kupambana na wizi na ufisadi. Tujitenge na ufisadi.

UVIKO-19 upo, tuendelee kuchukua hatua!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Potelea mbali, cha muhimu ukipata nafasi ya kupiga pesa we piga tu, haya maneno nayaishi na nnaahukuru saizi mambo saaaafi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Anzeni na hao waliohanishwa na kurudishwa pale pale, mastermind mtampata,

Ila nawewe mkuu jitahidi upate ukatibu nawewe ili uimarishe kipato chako, maana tabia za kizarendo na umaskini ni pande mbili tofauti kwenye sarafu moja
 
Vipi huko kwenu ufipa hata ruzuku za miaka 20 mliwahi kuziona

USSR
 
Inasemekana michango yetu tuliyochanga kama wabunge kwa muda wa miaka mitano, imetafunwa na huyu dogo akishirikiana na genge lake la mitandaoni. Mbowe mwambie mwanao arudishe michango yetu ambayo lengo kuu ilikuwa ni kujenga ofisi za chama ikiwepo makao makuu pale ufipa.

images (22).jpeg

images (23).jpeg
 
Hizi ndiyo sababu za kukataa katiba mpya wawndelee kupopocha kodi za wanyonge.
 
Huyu mama mafisadi hawamuogopi, wanaiba huku wanaendelea kupiga nae story, na kwa tabia yake ya kutofuatilia mambo kwa karibu Tanzania itarudi kuwa shamba la bibi very soon, kama sio imesharudi.
 
Baada ya miaka kadhaa, leo nimeingia na kuwemo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba kikazi. Katika kupitiatia nyaraka za haraka zisizo na baraka, nikanusa ufisadi ndani ya chama changu pendwa. Ni ufisadi uliofanyika kupitia uhamisho wa Maktibu wa Wilaya wa CCM. Kama kada mbobevu, mwerevu na mzalendo mpingaufisadi ni vyema niibue jambo hili ili lishughulikiwe kichama haraka.

Makatibu wa Wilaya wa CCM walihamishwa vituo va kazi. Wakalipwa mamilioni ya pesa kufanikisha uhamisho wao. Huko walikohamishiwa hawakukaa hata miezi sita. Karibu wote wakahamishwa tena (wengine wakirejeshwa kwenye vituo vyao vya awali). Wakalipwa tena pesa za uhamisho kutoka chamani. Sasa wamerejea palepale walipokuwa awali wakiwa wamelamba pesa za uhamisho mara mbili.

Mfano wa haraka kwenye nyaraka nilizoziona ni Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni. Huyu alihamishiwa Wilaya mjawapo huko Katavi. Na amerejeshwa tena Kinondoni palepale na kwa cheo kile kile. Haya ni matumizi mabaya ya fedha za chama. Huu ni ufisadi. Nani hasa chamani mwetu yuko nyuma na ufisadi huu? CCM kama chama tawala tunapaswa kuwa mstari wa mbele kupambana na wizi na ufisadi. Tujitenge na ufisadi.

UVIKO-19 upo, tuendelee kuchukua hatua!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Wacha wale Pesa za Wapumbavu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Chongolo ni jizi ,linatafuna zilizokusanywa na waliopita
 
Back
Top Bottom