Ufisadi: Tumechinja ng 'ombe zaidi ya 1500 asema Ridhiwani Kikwete

Ufisadi: Tumechinja ng 'ombe zaidi ya 1500 asema Ridhiwani Kikwete

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.

Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+

1718657797886.png

USSR
 
Ng'ombe 1,500 kila ng'ombe kilo 400 sawa na kilo 600,000

Sensa inatumbia Chalinze ina watu laki 3. Kwa wastani kila kaya ina watu watatu so kuna kaya laki 1.

Inamaana tuna nyama kilo laki 6 hafu tuna kaya laki 1, so kila Kaya ipate kilo 6.


Mwanachalize kama kwenu leo hamjaletewa Kilo 6 za nyama, umepigwa.
 
Back
Top Bottom