Ufisadi: Tumechinja ng 'ombe zaidi ya 1500 asema Ridhiwani Kikwete

Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.

Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+

USSR
Hila Chalinze si kwa umasikini huo! Mimi nilishawaambia Uislam is directly proportional na umasikini!
 
"Jumuiya ya waturuk" Hayo mang'ombe yaMakafara ya bure wacha wale tu, hayana thaman, maana wala hela zao haziwezi leta maendeleo Pwani.
 
Ng'ombe 1,500 kila ng'ombe kilo 400 sawa na kilo 600,000

Sensa inatumbia Chalinze ina watu laki 3. Kwa wastani kila kaya ina watu watatu so kuna kaya laki 1.

Inamaana tuna nyama kilo laki 6 hafu tuna kaya laki 1, so kila Kaya ipate kilo 6.

Mwanachalize kama kwenu leo hamjaletewa Kilo 6 za nyama, umepigwa.
Thubutu.
Waliopata kilo mbili washukuru.
 
Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.

Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+

USSR
Isaka alichinja kondoo mmoja tu 😀
 
Hawa wafadhili wanajuwa kula tu siku hii ya ibada?

Wananchi hawawezi kufaidika na ufadhili huo katika mambo magumu zaidi katika jamii ya hawa watu?

Hii itakuwa ni imani kweli ya kumsaidia binaadam mwenzako apate ahueni ya maisha?
Waturuki hawafatoi sadaka ya nyama tu mbona hapa D'salaam wamefadhili ujenzi wa visima hulalamiki?
 
Hawa wafadhili wanajuwa kula tu siku hii ya ibada?

Wananchi hawawezi kufaidika na ufadhili huo katika mambo magumu zaidi katika jamii ya hawa watu?

Hii itakuwa ni imani kweli ya kumsaidia binaadam mwenzako apate ahueni ya maisha?
Hiyo ni ibada maalum kwa ajili ya kuchinja na kutoa sadaka ,,kwahiyo tusihusishe ibada hii na shida za wananchi
 
Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.

Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+

USSR
Mara ya mwisho nilivyofuatilia,nilielekezwa ni mwana CCM mwezenu.
 
Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.

Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+

USSR
Mtoa mada ni mjinga wa kiwango cha SGR hao waturuki wanatoa misaada kma hii nchi nzima wanapozunguka kwa mwaka huo

Sisi waislamu msitufananishe kabisa na nyinyi katika suala zima la imani
 
Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.

Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+

USSR
Sio Ufisadi ni Neema kwa Wauzaji (Watanzania) na Walaji (Watanzania)
 
Kachukua pesa za mradi wa maji ndo akanunulia ng'ombe au ni zake binafsi na wadau wake?? Za maji ilaumu serikali siyo kumlaumu mtu binafsi. Harusi yangu nikitumia milion 100 wakati shule ya mtaani kwangu haina chaki hilo si kosa langu braza.
Hela zake amezitoa wapi kama sio kuwaibia Watanzania kwa nafasi yake?. Wewe unaona ni sahihi mtu mmoja au wawili wawe matrionea katikati ya watu masikini hohehahe?. Halafu unawaonyesha kabisa wale masikini umwamba wako. Ni hatari sana maana Zipo siku zaja Watanzania,walioibiwa, walionyanyaswa kwa rasilimali zao watakapoamka. Wewe trionea mmoja katikati ya masikini
 
Kamshtaki kama unaamini kaibia wananchi. Ni sahihi kuwa matrilionea ndiyo kwa wao hawajazuia wengine kuwa hivyo. Usiogope kufanya jambo ambalo ni haki yako kufanya ilimradi hujavunja sheria kisa kuhofia wanaokuzunguka. Ikiwezekana waamshe, hizi kauli za zipo nyakati zaja huwa ni za faraja tu. Akili gani za watanzania watakaoamka kama syo ninyi tu wa nyuma ya keyboard.
 
Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.

Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+

USSR
Kwa hiyo wanasifia kuchinja wakati hata hao ng'ombe wanaowachinja ni msaada.ajue hiyo misaada ina jambo nyuma yake.hakuna nchi hasa wazungu watoe vitu bure bure tu.ajue there is something in return.vya bure viliishakufa
 
mungu anataka nyama sio. ila sio kuwapata watu maji safi. utabarikiwa kwa kutoa nyama nyingi kwa watu.

Kama uislamu ni hivi unavyo sema, basi ni pepo alipo huko
Umeandika nini we mlokole usiyetafajari!?..idd ya kuchinja watu wametoa sadaka nyama,we unataka idd ya kuchinja wachimbe visima!!?..mosi,hiyo kazi yako wewe na serikali,lipa Kodi serikali ilete maji,pili hakuna dini inayozidi uislam kwa kuchimba visima hapa tz
 
Yaani ku convert hizo nyama kwenda kwenye madarasa hawawezi, akili yao inawaza tu MADRASA na QURHAN
 
Back
Top Bottom