Ufisadi: Tumechinja ng 'ombe zaidi ya 1500 asema Ridhiwani Kikwete

Ufisadi: Tumechinja ng 'ombe zaidi ya 1500 asema Ridhiwani Kikwete

Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.

Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+

USSR
Sasa huo ufisadi uko wapi hapo?

Hujuwi kuwa Kikwete alipostaafu kaweka shamba la kufuga ng'ombe huko Kwake? Waturuki kila mwaka wanachinja ng'ombe na kugawa sadaka yao, mwaka huu wamempa tenda Mzee wa Msoga,

Sasa hapo ufisadi uko wapi?

Huwa mkikosa la kusema mnahororoja na kubwabwaja kama wehu.
 
Sio kweli, hakuna uwezekano wa chalinze Pekee kuchinjwa ng'ombe 1,500. Labda hiyo nyama wagaiwe wananchi wote huko kwa lazima.
 
Sasa huo ufisadi uko wapi hapo?

Hujuwi kuwa Kikwete alipostaafu kaweka shamba la kufuga ng'ombe huko Kwake? Waturuki kila mwaka wanachinja ng'ombe na kugawa sadaka yao, mwaka huu wamempa tenda Mzee wa Msoga,

Sasa hapo ufisadi uko wapi?

Huwa mkikosa la kusema mnahororoja na kubwabwaja kama wehu.
Kwahiyo kwenye hilo shamba lake ana hao ng'ombe 1,500?
 
Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.

Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+

USSR
WOW!

Haya nayo ni makubwa.
Huyu ni Mbunge?

Lakini kilicho nivuta zaidi katika ujumbe wake huo ni hao wafadhili...Nchi hii Twafaaaa!

Tutanunuliwa hivi hadi lini?
Hawa maskini wetu walio chnjiwa leo, wanajuwa kinachobebwa kwa minofu hiyo ya nyama?
Hawa maskini, ndiyo kura zao zishapotea hivi hivi! Kwa minofu ya nyama.
 
Anaposema tumechinja haimaanishi yeye binafsi ndio katoa mpunga wote,kuna watu wenye fedha zao na kwa imani yao wanatoa sadaka katika maeneo tofauti tofauti ikiwemo kwa huyo mheshimiwa

Kwahiyo tuache kuwa na mitazamo hasi
Hawa wafadhili wanajuwa kula tu siku hii ya ibada?

Wananchi hawawezi kufaidika na ufadhili huo katika mambo magumu zaidi katika jamii ya hawa watu?

Hii itakuwa ni imani kweli ya kumsaidia binaadam mwenzako apate ahueni ya maisha?
 
Back
Top Bottom