Uzi wa majukwaa ya udaku.Wewe umewaona hao 1500 aliowachinja na Wewe ulikuwepo kushuhudia au anasema km Wewe ulivyosema?
Hili sio jukwaa la Udaku mwambie apeke kule kwa wanaomwongelea MwijakuUzi wa majukwaa ya udaku.
Wewe utakua umegaiwa nyama 🤣🤣Kachukua pesa za mradi wa maji ndo akanunulia ng'ombe au ni zake binafsi na wadau wake?? Za maji ilaumu serikali siyo kumlaumu mtu binafsi. Harusi yangu nikitumia milion 100 wakati shule ya mtaani kwangu haina chaki hilo si kosa langu braza.
Kilo mia ng'ombe au ndama. Ngombe kuanzia 300+Ukiwa ng'ombe mmoja ana kilo 100 achana na utumbo
Jumla ya kilo 150,000 zimegawiwa Chalinze dc