Muhsin Snr
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 515
- 806
kwahiyo ulitaka sikukuu hii tunywe hayo maji???Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.
Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+
USSR
Ukitoa sadaka kwa mkono wa kulia mkono wa kushoto hautakiwi kujua kiasi ulichotoa, kujitangaza ni kukiuka agizo la mwenyezi Mungu.Sadaka muhimu
Umesoma vizuri ukaelewa ? Au chuki tu zinakusumbuaUkiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.
Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+
USSR
Sawa mkuu; lakini mimi naamini hakuna" IBADA" iliyo muhimu zaidi kuliko kuleta mabadiliko katika maisha ya wananchi kwa kuwajengea uwezo au huduma kuliko kuwapa mlo wa siku moja!Hiyo ni ibada maalum kwa ajili ya kuchinja na kutoa sadaka ,,kwahiyo tusihusishe ibada hii na shida za wananchi
naibu waziri naona ana mimba wakati mzee wake anajitahidi kufanya mazoezi kila siku kulinda afyaUkiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.
Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+
USSR
Yaan hata sijui nianzie wapi kulieleza hili,,ibada ni jambo lolote ambalo Mungu analipenda,iwe ni kwa vitendo au kwa manenoSawa mkuu; lakini mimi naamini hakuna" IBADA" iliyo muhimu zaidi kuliko kuleta mabadiliko katika maisha ya wananchi kwa kuwajengea uwezo au huduma kuliko kuwapa mlo wa siku moja!
Naona jina lako ni la kituruki 'Etugrul', nawe ni mhusika katika ibada hiyo waliyofanyiwa wenyeji wa Chalinze?
Hii JF naona kila siku inapoteza watu Makini wa kuwaza na kudadavua Mambo...Liziwani sio kama wewe Mkuu, yule ni mbunge na wabunge kwenye kampain zao uwa wanaomba kura huku wakitoa ahadi wakichaguliwa watayatimiza hayo aliyoyaandika Mleta Mada.Kachukua pesa za mradi wa maji ndo akanunulia ng'ombe au ni zake binafsi na wadau wake?? Za maji ilaumu serikali siyo kumlaumu mtu binafsi. Harusi yangu nikitumia milion 100 wakati shule ya mtaani kwangu haina chaki hilo si kosa langu braza.
Ahsante sana mkuu 'Etugrul' kwa elimu hiyo uliyo itoa tena bila ya mihemko. Nakupongeza kwa hilo.Yaan hata sijui nianzie wapi kulieleza hili,,ibada ni jambo lolote ambalo Mungu analipenda,iwe ni kwa vitendo au kwa maneno
Sasa kusaidia watu ni ibada na ni jambo ambalo linapaswa kufanywa kila siku katika maisha yetu
Lakini ibada hii ya kuchinja inakuja kwa mwaka mara moja na ni tendo la kukumbuka tukio maalumu lililo tokea enzi za nabii ibrahim pale alipo oteshwa ndoto na Allah kama mtihani wa kutekeleza agizo lake la kumchinja mwane ili kudhibitisha imani yake
Kwahiyo ibrahim alifaulu pale alipokuwa tayar kutekeleza agizo hilo kwa kumchinja mwanae Ismail/ishamael ,ndipo Allah akashusha kondoo toka mbinguni achinjwe badala ya kumchinja mwanae
Sasa ibada hii hufanyika baada ya mahujaji kumaliza kutekeleza ibada ya hija na ndio kuchinja kunafuatia
Kwahiyo naona umepata picha kwamba hii ni ibada maalumu na haihusiani na kufanya matendo mengine nje ya hapo
Kwahiyo nyama inatolewa kama sadaka tu lkn ibada ipo kwenye kuchinja
Asante
sio shida zakeUkiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.
Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja Ng'ombe 1500+
USSR
Anaahidi kuwa atatumia pesa zake au atawasemea wananchi bungeni serikali iwaletee maji?? Kama wenye akili jf ni kama wewe basi haikuwa na wenye akili bali vipofu wanaopongezana. Jitahidi sana kuhoji wakati wa kampeni kuhusu uletaji wa hayo maji. Umuulize ataleta kwa kutumia pesa zake au za nani? Usikalie kupiga vigelegele tu kwenye kampeni bila kuchuja. Mtaibiwa sanaHii JF naona kila siku inapoteza watu Makini wa kuwaza na kudadavua Mambo...Liziwani sio kama wewe Mkuu, yule ni mbunge na wabunge kwenye kampain zao uwa wanaomba kura huku wakitoa ahadi wakichaguliwa watayatimiza hayo aliyoyaandika Mleta Mada.
Tujifunze kutumia Akili na kichwa kuwaza sio kukimbilia kureply ujinga ujinga tu .