Ufisadi wa Awamu ya 5: CAG Mstaafu Utouh alia na upigaji wa Trilioni 1.2, aitaka Serikali ieleze pesa zilikokwenda

Unamwambia nani achunguze wakati hao hulindana?

Ile kamati iliyoundwa na Samia kuchunguza upotevu wa fedha uliotokea banki kuu wakati wa msiba wa Magufuli, mpaka leo hakuna majibu yaliyotolewa.
Hivi wewe unaweza ukauchunguza mkono wako 1? Hujipendi?
 
Wanaoiba wengi ni wale wateule wa Rais ambao wanajua fika hakuna mtu wa kuwagusa kutokana na Katiba inavyomchulia rais.
 
JPM alikuwa mwizi sana
Ameficha wapi hizo pesa alizoiba ? Au na yeye yupo na matajiri maarufu nchini ?! Maana tunasikia wengine wana makampuni mpaka huko Canada !! Huyu jamaa yeye kazificha wapi ?!!
 
Ameficha wapi hizo pesa alizoiba ? Au na yeye yupo na matajiri maarufu nchini ?! Maana tunasikia wengine wana makampuni mpaka huko Canada !! Huyu jamaa yeye kazificha wapi ?!!
Wewe ndio hujui ila sisi tunazo fununu ,wewe subili uchunguzi rasmi uje kufanywa utapata majibu hapa hapa.
 
Huyu utoh asisahau na yeye alipofanya uchunguzi wa pesa za escrow alishindwa kueleza pesa zilikuwa za nani
 
Halafu tunalialia tu ohoo uwajibikaji sijui kitu gani,kila anayeingia ni mwendo wa kujipigia tu, nchii hii ni shamba la vipofu ni kijichumia tu hadi unastaafu...ni kushibisha matumbo tu basi, nchii hii ina msingi wa hovyo kwelikweli,yani unatamani hata turudishe siki nyuma turekebishe makosa maana hatutaki kuanza leo,unafiki...
 
wakamateni watoto wa magufuri akina rucy magufuri ndio wanaofahamu hiyo tirioni baba yao aliificha wapi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…