Alijua alikuwa na mapungufu ndo maana alitaka kila mtu amuogope ili wasimuulize hayo madudu yake. Yule alikuwa tapeli na msanii na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwalaghai watu hasa wasiojielewa.Awamu ya Ngosha kulikuwa na upigaji sana... Sema watu walikuwa wanaogopa kusema ili jemedari aonekane kadhibiti wizi...
Alikwishatoka madarakani aliposema nchi iingiye mfumo wa vyama vingi kinyume na matakwa ya kura ya maoni. Na ikafanywa alivyotaka.Kawaida yao wakiwepo madarakani huwa hawaioni ubaya wake !!mpaka watoke madarakani !!
Jamaa Aliwa brain wash.Kama zilipigwa na bado tukaona miundombinu na nchi ikaingia uchumi wa kati ni bora zaidi kuliko sasa ambapo tuko na siasa za royo tua na kugawa mitungi ya gesi
Ni kweli ! Sijui ni kwanini hakulazimisha na katiba ibadilishwe ila badala yake akaonya tu !!Alikwishatoka madarakani aliposema nchi iingiye mfumo wa vyama vingi kinyume na matakwa ya kura ya maoni. Na ikafanywa alivyotaka.
Sasa alivyosema hivyo unazani nani mwingine ataendeleza hili?Nani ataje? Unaelewa maana ya kuitisha uchunguzi? Hapo ndio utabaini waliogawana kama zike za Vijisenti vya kina chenge nk.
Nani mwingine? Kwani Jinai inakwisha kwa sababu ya muda? Asipochunguza Samia atakuja kuchunguza Rais mwingine.Sasa alivyosema hivyo unazani nani mwingine ataendeleza hili?
Hakuna kitu kama hicho tunapotezeana bando tu. Bora angenyamaza la sivyo ataje .Nani mwingine? Kwani Jinai inakwisha kwa sababu ya muda? Asipochunguza Samia atakuja kuchunguza Rais mwingine.
Ataje kwani Kazi yake ni kutaja? Ni polisi au Takukuru huyo? Uliwahi sikia ripoti ya CAG inataja majina ya watu?Hakuna kitu kama hicho tunapotezeana bando tu. Bora angenyamaza la sivyo ataje .
Taahi.ra nyie, CAG alipoulizwa na JPM kuhusu hiyo pesa alijibu nini? Magufuli atawatesa sana.Ataje kwani Kazi yake ni kutaja? Ni polisi au Takukuru huyo? Uliwahi sikia ripoti ya CAG inataja majina ya watu?
Acha mda upotee tuu ila ipo siku yatajulikana yote hayo.
Wewe tusipotezeane mda. Anaelalamika ndio anajua, anatakiwa kutaja hao wezi nasi tuwashughulikie.Ataje kwani Kazi yake ni kutaja? Ni polisi au Takukuru huyo? Uliwahi sikia ripoti ya CAG inataja majina ya watu?
Acha mda upotee tuu ila ipo siku yatajulikana yote hayo.
Wewe hata u panic ,itafukuliwa tuu..Ulitaka ajibu nini? Alimfuta Kazi Kwa ajili gani?Taahi.ra nyie, CAG alipoulizwa na JPM kuhusu hiyo pesa alijibu nini? Magufuli atawatesa sana.
Mda ni Mwalimu mzuriWewe tusipotezeane mda. Anaelalamika ndio anajua, anatakiwa kutaja hao wezi nasi tuwashughulikie.
Uko sahihi,alaaniwe huko aliko 👇JPM alikuwa mwizi sana
Ndio maana Utouh ameitaka Serikali ifanye uchunguzi na itoe majibu..Kwa kua aliekua Raisi kipindi hicho amekwisha fariki basi aliekua makamu wake na waziri wake wa fedha pamoja tra watoe majibu fedha zetu walipeleka wapi