Ufisadi wa Awamu ya 5: CAG Mstaafu Utouh alia na upigaji wa Trilioni 1.2, aitaka Serikali ieleze pesa zilikokwenda

Ufisadi wa Awamu ya 5: CAG Mstaafu Utouh alia na upigaji wa Trilioni 1.2, aitaka Serikali ieleze pesa zilikokwenda

Awamu ya Ngosha kulikuwa na upigaji sana... Sema watu walikuwa wanaogopa kusema ili jemedari aonekane kadhibiti wizi...
Alijua alikuwa na mapungufu ndo maana alitaka kila mtu amuogope ili wasimuulize hayo madudu yake. Yule alikuwa tapeli na msanii na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwalaghai watu hasa wasiojielewa.
 
Alikwishatoka madarakani aliposema nchi iingiye mfumo wa vyama vingi kinyume na matakwa ya kura ya maoni. Na ikafanywa alivyotaka.
Ni kweli ! Sijui ni kwanini hakulazimisha na katiba ibadilishwe ila badala yake akaonya tu !!
 
Hakuna kitu kama hicho tunapotezeana bando tu. Bora angenyamaza la sivyo ataje .
Ataje kwani Kazi yake ni kutaja? Ni polisi au Takukuru huyo? Uliwahi sikia ripoti ya CAG inataja majina ya watu?

Acha mda upotee tuu ila ipo siku yatajulikana yote hayo.
 
Ataje kwani Kazi yake ni kutaja? Ni polisi au Takukuru huyo? Uliwahi sikia ripoti ya CAG inataja majina ya watu?

Acha mda upotee tuu ila ipo siku yatajulikana yote hayo.
Taahi.ra nyie, CAG alipoulizwa na JPM kuhusu hiyo pesa alijibu nini? Magufuli atawatesa sana.
 
Ataje kwani Kazi yake ni kutaja? Ni polisi au Takukuru huyo? Uliwahi sikia ripoti ya CAG inataja majina ya watu?

Acha mda upotee tuu ila ipo siku yatajulikana yote hayo.
Wewe tusipotezeane mda. Anaelalamika ndio anajua, anatakiwa kutaja hao wezi nasi tuwashughulikie.
 
Taahi.ra nyie, CAG alipoulizwa na JPM kuhusu hiyo pesa alijibu nini? Magufuli atawatesa sana.
Wewe hata u panic ,itafukuliwa tuu..Ulitaka ajibu nini? Alimfuta Kazi Kwa ajili gani?

Haya sasa huyu mwingine kahoji nar unasemaje? Toeni maelezo pesa iko wapi na Kwa nini haikupelekwa hazina?
 
Attachments

  • Screenshot_20220718-072007.png
    Screenshot_20220718-072007.png
    115 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220718-072047.png
    Screenshot_20220718-072047.png
    33.7 KB · Views: 2
Kwa kua aliekua Raisi kipindi hicho amekwisha fariki basi aliekua makamu wake na waziri wake wa fedha pamoja tra watoe majibu fedha zetu walipeleka wapi
 
Kwa kua aliekua Raisi kipindi hicho amekwisha fariki basi aliekua makamu wake na waziri wake wa fedha pamoja tra watoe majibu fedha zetu walipeleka wapi
Ndio maana Utouh ameitaka Serikali ifanye uchunguzi na itoe majibu..

Serikali ya Samia ina wajibu wa hili hata kama watafumbia macho ila ipo siku watakuja kulipia..

Jinai haiozi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220718-072007.png
    Screenshot_20220718-072007.png
    115 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220718-072047.png
    Screenshot_20220718-072047.png
    33.7 KB · Views: 8
Back
Top Bottom