GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Nitahesabu idadi ya Moderators wote wataokuwepo Ofisini Siku nitakayoenda Kuchukua Zawadi yangu na Wote watakunywa Soda Mpya, Tamu na niipendayo ya Super Commando kutoka Kampuni ya Pepsi.
2. Nitamtolea Mungu (siyo Mungu wa Mwamposa) Sadaka yake ama kwa kuitoa Kanisani au kuwapa Zawadi Watoto wadogo.
3. Nitanunua Zawadi kwa Dingi na Bi Mkubwa ili wajue kuwa Walizaa Mwamba na wamenikuza vyema.
4. Nitapunguza baadhi ya Madeni hasa kwa Kuwalipa wale Wanaonidai Wababe na ninaowamudu watasubiri hadi nikishinda tena Shindano lingine.
5. Naweza kusafiri kwenda Kutembelea Mizimu ya Kizanaki kwa Baba Mkoani Mara na ile ya Kimakuwa kwa Mama Mkoani Mtwara.
6. Nitawatafuta Watani zangu wote Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi ili niwakalishe Baa Moja wale Mbuzi mzima ili waniombee Baraka Njema kwa Mwenyezi Mungu na Mizimu yao ikiwezekana.
7. Nitanunua Laptop ya Mtumba (ila Imara) na Simu Mpya ya Kuringishia Mademu ndani ya DalaDala za Kawe - Mbezi Louis (kupitia Goba) ili nisiwe na Kazi ya Kutongoza / Kuwatongoza bali Wajitongoze / Wanishobokee wenyewe.
Hivi Members wa JamiiForums mnajua kuwa licha ya Kuupenda huu Mtandao wa JamiiForums ila ninawapendeni hakuna mfano?
Haya muwe na Usiku Mwema Saa 7 Kamili (juu ya Alama) na Log Out kwani Shemeji yenu anasema anahitaji sasa nimpe kile kilichomtoa Kwao kwani kama Kula alikuwa Akila, Akilala vyema na hata Pesa akipata ila Kimoja tu ninachokimiliki Mafichoni Kwangu Uvunguni ndicho anakitaka na muda umeshafika.
Kesho nayo ni Siku. Akhsanteni Wote.