Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Wewe mama, mimi sijui chochote kuhusu uchumi. Ila umeandika ukiwa na chuki moyoni dhidi ya Uchina. Sijajua hizo riport za WB na IMF zilizotolewa, walioziandaa ni hao CCP au ni nani. Kubali kataa. Mabadiliko ni lazima.Na hawajawahi kukiri kwamba ulikufa, ni kwamba uko china, local government zina madeni makubwa kinoma, hadi wanashindwa kulipa baadhi ya madai ya watu,
Kuna wimbi kubwa la unemployment na matatizo makubwa ya real estate majumba yamejengwa lakini hayakaliki ni kwamba watu hawawezi kuafford gharama zake.
Lakini hili jambo hautolisikia kwa mawakala kama HAWA wa CCP
China kwa sasa uchumi wao unakuwa kwa kasi ya kimbunga. Nyie wenye mahaba na USA roho zinawauma.