Actually mnampigisha short mchina , mchina anatoa mikopo mingi ambayo mingi inashindwa kulipika na inakuwa defaulted ndio sababu ya kuongezeka visa kama vya Zambia mchina kukamata mashirika ya serikali na miundo mbinu mingine baada ya serikali kufail kulipa hiyo mikopo iliyokooeshwa na China via road and belt intiatiave na hilo linaleta impact kubwa china kwani inakuwa ni big loss kwa central government ya china na wakati huo huo local governments za china zimekopa pesa ndefu na zimeshindwa kurejesha hiyo mikopo so hii ni perfect storm ,coupled with pandemic restrictions , poor productivity hasa kwenye manufacturing sector na kuanza kuhamishwa kwa mitaji kwa wawekezaji vwakubwa wanaohamishia biashara na manufacturing south east Asia mfano Singapore , Thailand ,Vietnam ,Malaysia ,Indonesia NK
Chinese economy is not safe