Ufufukaji wa uchumi wa China kunufaisha uchumi wa dunia unaokabiliwa na changamoto

Wewe mama, mimi sijui chochote kuhusu uchumi. Ila umeandika ukiwa na chuki moyoni dhidi ya Uchina. Sijajua hizo riport za WB na IMF zilizotolewa, walioziandaa ni hao CCP au ni nani. Kubali kataa. Mabadiliko ni lazima.

China kwa sasa uchumi wao unakuwa kwa kasi ya kimbunga. Nyie wenye mahaba na USA roho zinawauma.
 
chuki. Kukimbilia vietnam ni kama kuama mkoa tu. Vietnam ni china.
 
Ripoti Ukuaji wa asilimia 4.5 ya uchumi wa China haijaripotiwa na IMF mzee wala WB imeripotiwa na National Bureau Statistics of China..,

Inaonyesha ni kwa jinsi gani hata ulivyo sio mfatiliaji wa mambo.

Dah, unanichosha ndugu naomba nikuage, bye!
Najua imetolewa na National Bureau of Statistics ya China

Kwani IMF na WB wameipinga?
 
Achana nae huyo. Mtu ana kichwa kigumu kuelewa kama jiwe.
 
Una akili nzito mkuu
Usiishie kuniambia nina akili nzito

Km nimetipwika unapaswa kuniweka sawa ili kuweka utofaut kati ya mim mwenye akili nzito km kokoto na ww mwenye akili nyepes km pamba
 
Bora uwaeleze mana nimejitahidi lakini naona hawaelewi.

Tatizo hawafatilii international political issues na economy.

Unamwelewesha mtu unaona kabisa kichwani hamna kitu, dah
Halafu mtu huyo huyo asiyeelewa anajiita mtaalamu wa Uchumi, Jf tumekuwa na watu wa ajabu sana siku hizi.
 
Jf mumejazana wapumbavu kibao ! Sasa ndio umeandika nini hiki ,hivi munavyoandika munakijua kweli na uhakika nacho au ilimradi tu nawe uchangie? . Kwa haya maelezo yako bc kungekua hakuna nchi masikini duniani kila serikali ya nchi husika mfano Tanzania wangeziandaa data zao wakazipeleka WB na IMF ili watangazwe , hivi uongozi wa serikali ipi inapenda kuambiwa uchumi wake unakufa ikiwa data wanaandaa wenyewe na ukae ukijua hizo taarifa zina impact kubwa na serikali iliyopo madarakani katika kutafuta kuendelea kusalia madarakani si kila mwaka wangekua wanajiwekea asilimia kubwa tu kisha wanapelekwa wakatangazwe uchaguzi ukija wapite bira kupigwa
 
China wana tabia ya kutoa data ambazo si sahihi
 
Tofautisha kati ya colona na uchumi ,colona ni ugojwa wa mripuko kama kipindu pindu ulivyolipuka kila nchi ilikua na njia zake za kupambana na ugonjwa huo wa mripuko tofauti na uchumi ambao unasimamiwa na hizo tasisi kubwa toka miaka hiyo . ukumbuke hizo taarifa za kukua kwa uchumi zinasimamiwa na WB ktk kutoa mikopo inasaidia katika makampuni kufanya uwekezaji pia ktk siasa sasa na WB na IMF vinaaminika Sana duniani wakisema wao kila kampuni inaamini sidhan kama watakubali uwapelekee karatasi lako lakujipangia wakutangaze wakupe umaarufu wa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…