Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

Ndugu zangu wenzetu wa MBOGO RANCHESE wameanza kuuza mbuzi wa mbegu wakiwa ni cross ya Boer na Isiolo/Galla, naweka na number yao hapa naomba muwasiliane naoe mjipatie Mbegu zilizo bora kabisa. 0767 803 520, Mbogo Ranchese naomba muwasiliane nao mjipatie Mbuzi kwaajili ya mbegu kuboresha mashamba yenu.
 
Hongera mtoa mada na wachangiaji wengine elimu mnayoitoa ni ujasiliamali tosha kwa maisha ya sasa. Mimi pia naufikilia huu mradi kuna rafiki zangu wawili wameshaanza muda mrefu nitawasiliana nao kwa maelekezo zaidi
 
Kwa kanda ya Ziwa wafugaji wa mbuzi wa breed ambazo ni crossed wanapatikana wapi?
 
Karibu sana ndugu ni kweli kabisa tufundishane nakuongozana wenyewe hakuna wakuja kutupa mwongozo sisi wa jinsi ya kujiongoza.
 
Kwakweli hapo ungetueleza ukanda ulipowaona hapo labda tungeweza kukusaidia ni aina gani wanapatikana ukanda huo, na picha ingesaidi kusoma hilo.

Kitambo sana,sikuweza kufuatiria waliko toka ila niliwaona kanda ya ziwa lakini sio natives.
 
Kwa kanda ya Ziwa wafugaji wa mbuzi wa breed ambazo ni crossed wanapatikana wapi?
Naomba nikupatie number zao. 0622 602 953 Onesmo huyu mnaweza ona mifugo yake kwenye ukurasa wake wa intsagram bombilegoatbreeds.
Fotunatus Mkuba 0767 213 332 huyu yupo simiyu. naomba muwasilie nao hao wote wapo kanda ya ziwa na wana croos breed nzuri. Mwenyekiti TAGOFA.
 
Kitambo sana,sikuweza kufuatiria waliko toka ila niliwaona kanda ya ziwa lakini sio natives.
Kwa kanda ya Ziwa kuna wale Mbuzi wanawaita Mbuzi wa kisukuma huwa wanamaumbo makubwa hii inatokana na ukaribu wao wa kupakana na bukoba na hapo wanapata mchanganyiko na hao Mubende ndipo wanapo pata mbegu zilizo na maumbo makubwa.
 
Naomba nikupatie number zao. 0622 602 953 Onesmo huyu mnaweza ona mifugo yake kwenye ukurasa wake wa intsagram bombilegoatbreeds.
Fotunatus Mkuba 0767 213 332 huyu yupo simiyu. naomba muwasilie nao hao wote wapo kanda ya ziwa na wana croos breed nzuri. Mwenyekiti TAGOFA.
Asante sana ndugu
 
Huu uzi nitakuja kuupitia 2025 inshaallah panapo majaliwa ili niweze kupata muongozo. Ni project inayoniumiza kichwa sana kwa sasa. So I plan to start it by 2025 kwa sasa ninachokifanya ni kusoma makala mbalimbali na kufanya maandalizi ya hiyo project. I wish to start with 20 acres ndani yake nilime na kufuga kwa ukubwa hasa. So God please make it happen
 
Mungu akubariki na kukujaalia ufikie malengo yako, nikushauri pia ujaribu kupita kwa wafugaji kila mara ili uweze kujifunza kwa vitendo hii itakusaidia sana ktk utendaji wako, maana kila ulianzishalo linahitaji usimamizi wa karibu ndio utaiona nakujua faida yake.
 
Asante sana mkuu na naufanyia kazi ushauri wako. Ubarikiwe sana
Mungu akubariki na kukujaalia ufikie malengo yako, nikushauri pia ujaribu kupita kwa wafugaji kila mara ili uweze kujifunza kwa vitendo hii itakusaidia sana ktk utendaji wako, maana kila ulianzishalo linahitaji usimamizi wa karibu ndio utaiona nakujua faida yake.
 
Mungu akubariki na kukujaalia ufikie malengo yako, nikushauri pia ujaribu kupita kwa wafugaji kila mara ili uweze kujifunza kwa vitendo hii itakusaidia sana ktk utendaji wako, maana kila ulianzishalo linahitaji usimamizi wa karibu ndio utaiona nakujua faida yake.

Mkuu kanda ya kati Singida ambapo kuna mvua msimu mmoja ni aina gani inafaa huko

Na kwa sababu ya ukame wa muda mrefu vipi mbuzi wakifungiwa eneo moja wakati wa masika na wakati wa kiangazi wakienda kuchungwa kuna tatizo?
 
Habari za leo. ukanda wa Singida hauna shida kabisa ktk ufugaji wa Mbuzi kikubwa ni wewe mfugaji kuanda mazingira ya utendaji ktk shamba lako na njia ipi unaipenda wewe kuwafuga, kwama utawafungia uwaletee majani au utawachunga hakuna shida kabisa. Kuhus aina ya Mbuzi Singida wana model flani ni wafupi sana hao ukuwaji wao huwa sio wa haraka na kg zao ni chache ukilinganisha na hizi mbegu zilizo boreshwa, kwakuwa upo Singida nakushauri uteremke hapo manyara na babati utapata mbegu za isiolo uje uchanaganye na hao wa kienyeji, halafu usogee hapo biharamulo au karagwe upate Mubende, usogee kigoma hapo upate Buha , utakapo chanaganya na Dume wa isiolo/Galla hapo utakuwa umeboresha mbegu ndani ya shamba lako. Karibu sana tufuge pamoja tujifunze pamoja, ubarikiwe sana.
 
Barikiwa sana
 
Back
Top Bottom