Ufugaji nyuki wa kisasa

Asanteee muungwanaaa kwasasa nipo moshi ila ntakuja dar soon mana kila kitu business, ukitaka kujifunza business.. Uuh! ............ Unatkea uchira nn!??.... Mana mm napandia kawawa road (moshi huku).... Joking...
karibu mkuu,
 
NAHITAJI KUFANYA UFUGAJI HUO PIA MWENYE UZOEFU WA TARATIBU AU HATUA ZA KUFUATA (HATA GUIDE JORNAL PDF HIVI) TUPIA HAPA
Kama uko karibu na Jkt Ruvu nenda pale ,utapata somo zuri sana na ukiitaji mizinga utauziwa pia,hautojutia.
 
Kama unalipa basi ngoja tufanye mpango asante.
 
Mizinga kwa ufugaji wa nyuki wadogo mnayo?
 
Nahitaji malkia wa nyuki asie mkali.ili niweze kuwa na makundi yasio kuwa makali..utanisaidiaje? Ufugaji wangu utakuwa Morogoro
 
Nahitaji kufanya ufugaji wa nyuki {wakubwa na wadogo} .... Naomba mchanganuo na mazingira ya ufugaji huo.......... Wataalam karibun.....
Mazingira ya ufugaji Nyuki lazima yawe salama kwa Nyuki wenyewe ili waweze kuishi kwa kipindi chote au msimu wrote.

Kuwapo kwa Maya ya kutosha si lazima Nyuki kuweza kuishi maeneo hayo Bali inategemeana na aina ya uoto au kilimo kilichokuwepo apo au umbali usiozidi kilomita 5. Karibu RAFIKI ASALI uweze kupata utaalamu wa kisasa kabisa kuhusu ufugaji Nyuki na mazao take.

RAFIKI ASALI ni wajasiliamali na wataalamu wenye elimu ya juu kutoka chuo kikuu katika ufugaji Nyuki. Nao wanafanya kazi Tanzania nzima zinazousu ufugaji Nyuki.
 
Nazani sijachelewa sana. RAFIKI ASALI ni kampuni ya kijasiliamali iliyoanzishwa na mtaalamu na mwenye uzoefu wa ufugaji Nyuki waliomaliza kutoka chuo Kikuu cha Mlimani. Tunafanya shughuli zote za ufugaji Nyuki kisasa na kusimamia mradi mpaka unapata matokeo chanya. Wasiliana nasi kupitia 0758789956
 
Soko la asali lipo vipi ndani na nje ya nchi kwa sasa?

Nina eneo kubwa la kufuga nyuki na mazingira wezeshi sema nilipata mashaka kuhusu hii project baada ya kuona vijana wakitembeza ndoo za asali {frequently} mitaani na kuziuza kwa kipimo cha robo, nusu lita na kuendelea, hapo nilipata picture tofauti.
 
Lazima utambue kwanza solo la asali Luna changamoto zake kwa maana zingine uwa si asali Bali ni sukari iliyotengenezwa na kuchanganya na asali kidogo.

Soko la asali Tanzania linakua kadri Siku zinavyoenda na watu wanajua umuhimu wa asali. Na kuhusu soko la nje ni lazima kwanza kufuata ule ubora wa asali unaotakiwa na RAFIKI ASALI tunakuakikishia kwa maana tutakushauri cha kufanya katika project yako ili upate ubora wa asali inayotakiwa.

Rafiki Asali ni wataalamu katika sayansi na teknologia ya Nyuki na mazao yake. Vlevile Tunauza asali katika vipimo tofauti tofauti na kufanya miradi ya watu, vikundi na taasisi ya ufugaji Nyuki.
 
Mkuu naomba ufafanuzi vipi kuhusu gharama za mafunzo na yanafanyikia WAP?
Naomba nikutoe hofu,
Gharama zetu za mafunzo ni rahisi kabisa.
Utapewa Mafunzo kwa vitendo, chakula, cheti, Kitabu kwa bei kati ya 50,000/= - 75,000/= kulingana na muda.

Kumbuka sisi ni Shirika lisilo la faida, hivyo lengo letu mi kusaidia jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…